FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Usiwe mbishi. Maono yana namna yake hayaendi kwa kanuni unazotaka wewe.Utabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
ππππππNa wewe ukiwa mmojawapo. Upumzike kwa amani mkuu. Ahsante kwa taarifa.
Nmekufa kitambo Sana mkuu π€¦ββοΈπ’Na wewe ukiwa mmojawapo. Upumzike kwa amani mkuu. Ahsante kwa taarifa.
Inabidi atabiri furushi la chanjo lini ulitoka MirembeUsiwe mbishi. Maono yana namna yake hayaendi kwa kanuni unazotaka wewe.
Pole Kaka, ujuaji haulipi.
Usiposikiliza ya wakuu utakufa tu.
True that! Sema wengi wajikuta wajuaji sana, siku huyu jamaa anatabiri walimuogesha mitusi na shutuma kibaoJamaa yuko vizuri tuache ubishi..wengi wetu hapa hatuwezi kufanya hata robo ya alichokifanya..
unasemajeeeeeWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Huyu jamaa utabiri ujao ndio utakuwa mpango wenyewe... Hii ni one two test.. Diversion..kumbe yalikua mazoezi
Una uhakika nae Yesu halipendi?Tunaikemea kwa jina la Yesu hiyo roho ya mauti.
Teh tehWalimu walikufanya nn Countrywide jamani[emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa...Inabidi atabiri furushi la chanjo lini ulitoka Mirembe
Si nimesikia wamepeleka MAJASUSI WA KIJESHI kufanya uokoaji?Halafu nchi yetu bado waokoaji ni wavuvi local na vijana wauza samaki daa
Usimsumbue Mkuu kuhusu ndoto hiyo ya Mke, muhimu nenda Kanisani au Msikitini Tangaza nia. Nina Imani baada ya siku Moja ya tangazo lako utashindwa mwenyewe kuchagua π€ͺOya nitabirie kama mke wangu mtarajiwa atapatikana lini?
Tukifa tunazaliwa upya.Nmekufa kitambo Sana mkuu π€¦ββοΈπ’
Hapana mkuu nlkufa juzi tu hapo π’π€¦ββοΈTukifa tunazaliwa upya.
Mi nikifa naenda zangu kuzaliwa Norway ππ. We ushajichanganya umezaliwa danganyika land
Mbona ni tofauti na utabiri?True that! Sema wengi wajikuta wajuaji sana, siku huyu jamaa anatabiri walimuogesha mitusi na shutuma kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
So you believe kwenye reincarnationTukifa tunazaliwa upya.
Mi nikifa naenda zangu kuzaliwa Norway ππ. We ushajichanganya umezaliwa danganyika land