Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Halafu nchi yetu bado waokoaji ni wavuvi local na vijana wauza samaki daa

Kweli ni aibu kubwa sana kila ikitokea ajali ni maafa tu
Kilimanjaro inateketea kwa moto hakuna ndege za kuzima
Nyumba ikiwaka ni ngumu fire brigade kufika kwa wakati kisa zipo chache

Halafu wanaweka watu kuchunguza kwa mamilioni
 
Inabidi atabiri furushi la chanjo lini ulitoka Mirembe
Hahahaaa...

Yaani nyie wajuaji hata mkiambiwa mwisho wa dunia umefika mtabisha, mwishowe mnafyekwa vichwa.

Kuwa msikivu. Hata kichaa anaweza kukupa ujumbe unaoweza kunusuru maisha yako.

Ubishi ubishi tu na ujuaji, SIT DOWN AND LISTEN.
 
Back
Top Bottom