Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Hii ndege ilituhadaa ikiwa majinikana kwamba inakunywa maji tukadhani itafanyiwa marekebisho irudi angani kumbe iliisha jumla.

Hata walionusrika hawataamini kama ndio wametoka humo!
Umeongea jambo jema,kabla ya kutolewa ilionekana kama nzima
 
Bado haijatimia endelea na toba
 
Manabii wa kweli WAPO na Watakuwepo mpaka siku ya mwisho katika dunia hii

Lakini kuna hawa Manabii wa uongo ambao huwa wanajitangaza sana, nao wapo na watakuwepo ila tumetahadharishwa nao

Tuwe makini.
 
Wewe naye unachekesha. Yaani unaamini kila kitu kinachowekwa kwenye mitandao. Yaani uliamini kabisa kuwa kuna mtu anaweza kubeba ile cockpit kwa kichwa!!!! Duh!!!!
 
Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
Daab mkuu kutabiri Ajali ya ndegee ni zaidi ya Utabiriii maana ndege kupata ajali hasa yenye abiria wengi kwa tanzania ni miaka mingi sasa haijawahi kutokeaa... Aisee una uwezo wa ajabu kiukweli na ile ndege imevunjika vipande viwili daah balaaa sana.
 
Watu wenye maono still wanaexist, shida ni hilo jina lake analotumia mtu anaona kama anatania
 
Yeah they prove us wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…