Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea jambo jema,kabla ya kutolewa ilionekana kama nzimaHii ndege ilituhadaa ikiwa majinikana kwamba inakunywa maji tukadhani itafanyiwa marekebisho irudi angani kumbe iliisha jumla.
Hata walionusrika hawataamini kama ndio wametoka humo!
3zov yuko wapi???Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Bado haijatimia endelea na tobaKwenye ndoto sawa inawezekana, mi Mwanangu wa darasa la tano Kama mwezi hivi umepita,aliota Baba yake ninefariki na wako msibani kwenye mazishi yangu,akaamka asubuhi akamwambia Mama yake,na Mama yake akaniambia,nikasema msijali ni ndoto tu hakuna kitu Kama hicho! Baada siku mbili kupita tu,tukapokea taarifa za msiba wa Mama Mkwe Bibi yake na Mwanangu! Basi tukasema kwa pamoja kua ndiyo ile ndoto ya Mtoto imetimia Sasa!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Imekatika vipande viwili.Utabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
"Ushawahi kusikia "breaking knews" ya habari njemaShida mnaonaga mabaya TU , vizuri hata iweje hamsemi tutaachaje kuwaona sio.
Wewe naye unachekesha. Yaani unaamini kila kitu kinachowekwa kwenye mitandao. Yaani uliamini kabisa kuwa kuna mtu anaweza kubeba ile cockpit kwa kichwa!!!! Duh!!!!Hakuna pua ya ndege umeona imebebwa toka ziwani mkuu? Au vipande viwili vilitakiwa viweje/ukubwa gani?
Huo unjano pia ni matokeo ya uwepo wa nyekundu. Utundu wa mafundi rangi wanalijua hili. Mama wa rangi zote ni rangi 4 tu; orange si sehemu yazo. Zikichanganywa ndio tunapata zaidi ya rangi hata mia.
Zaidi ya yote: utabiri/ndoto ni kambo ya kiroho (fumbo) kupata usahihi wa tafsiri ni shule nyingine na angalau fasiri itolewe na mtu tofauti na muona maono. Ni nadra kuzikuta hizi karama kwa mtu mmoja. Huyu mwamba katoa alivyoona inafaa na upande wangu kapatia 100%
Ingekuwa wenye ndoto ni mimi na wengine katika hili tungeona njiwa mwenye madoa doa anaanguka ghafla. Badala minofu na manyoya kusambaa wangetoka nzi wakiwa hai na wengine wamekufa. Basi ingeishia hapo. Kuja kupata tafsiri ya ndege ulaya, sijui abiria hadi nembo ni kiwango kingine cha level ya aliens[emoji122]
Kwani maharge ya jandondoni mwenyewe anasemajeRangi ya kijani kwenye ulimwengu wa kiroho ni nyekundu.
Si eti kaka Mshana Jr
Daab mkuu kutabiri Ajali ya ndegee ni zaidi ya Utabiriii maana ndege kupata ajali hasa yenye abiria wengi kwa tanzania ni miaka mingi sasa haijawahi kutokeaa... Aisee una uwezo wa ajabu kiukweli na ile ndege imevunjika vipande viwili daah balaaa sana.Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
rudi usome tena uzi wako[emoji23]Utabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
Yeah they prove us wrongNdoto zilizokamilika
Asalaam aleykum! Habari za asubuhi!Wanabodi leo naendelea kuelezea mfululizo wa ndoto ambazo zinamuhusu kiongozi wetu ambazo tatu zimeshakamilika bado moja ambayo sijui itakamilika lini.Leo ntaelezea moja ambayo imekamilika na ile moja ambayo haijakamilka,wataalamu wenye elimu ya kutafasili...www.jamiiforums.com
Mleta uzi, hapa maono yake yalitimia na mengine yanaendelea kutimia.
JF kuna member wanne sasa wa kua nao makini kila wanachokipost.
1. Tumia Akili (mtu wa system)
2. Tumain El (mtu wa dini dini - sina uhakika na user name yake)
3. Maharage ya ukweni (maono)
4. Yoga (mtu wa system)
hivi huyu jamaa kumbe kawahi kutabiri mambo mengi na yakatokea?duh basi ni hatari nijuzeFatilia nyuzi zake za nyuma utajua kama ni coincidence au umeamua ku-rap