Na kuongoza watu ukiwa unajua hauna baraka zao hii kitu huwa ni mbaya sana, kwanza mda wote unakuwa hujiamini na unakuwa umejawa na hifu.Mimi natabili kama Samia atalazimisha kuendelea kutawala kwa wizi wa uchaguzi. Hata maliza kipindi cha pili , aibe uchaguzi au asibe vyote ni sawa hakuna kitakacho mpa usalama. Bora akubali kuondoka kwa heshima. Asifikiri Mpango ni mjinga kuamuwa kuacha umakamo kabla hata mda wake. Mwezake kaona mbali kaona salama yake ni kukaa pembeni.
Ili kuthibitisha usemalo fuatilia mikutano ya Mzee Wasira na E. Nchimbi. Ukizitizama nyuso zao pamoja na wasikilizaji wao wamepoteza matumaini.You nailed it mkuu..... Kuchanganyikiwa ni lazima tena jinsi wanavyowapuuza hata viongozi wa dini kiukweli haipendezi kabisa. Kila mtu anaona jinsi Samia anavyoendesha nchi badala ajirudi ila ameshupaza shingo na ndio maana uungwaji mkono unazidi kupungua sana. I'm sure hata ndani ya CCM wengi hawapendezwi na hii hali
Kila kona. Halafu siku hizi watu wameelimika. Wanaogopa tu kujiachia huko what's up ila mioyo yao 90% imechoka hata walioko huko ndani wapo tu ksbb wanaogopaWanatumia kila spinning ila umma umewakataa vibaya
Utabiri utatimia tuCCM Hawaamini Ila Ndiyo Wanapisha Taratibu Tu
Nadhani kuna zaidi ya hiyo sifa moja uliyoitaja hapa inayoonekana kuchangia mabadiliko ya haraka na wananchi kuielewa vizuri CHADEMA inapigania nini kama chama cha siasa.Huo utabiri sidhani kama kweli upo.
Lakini ninachokiona uongozi wa Tundu Lissu ni shirikishi zaidi ya ilivyokuwa kwa Mbowe.
Kwani ndani ya miaka miwili tu kuna viongozi wa ngazi mbalimbali wa Chadema ambao hawakufahamika awali wanasikika na wanaonekana wana uwezo mkubwa.
Kama Mwenyekiti wa Bavicha,Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti,Mwenyekiti wa mkoa wa Mara na Njombe nk.
Wana uwezo mkubwa.
Vile vile hata wanachama wa kawaida wa Chadema wanaonekana wanaelewa vema misimamo ya Lissu kwani wanaielezea vizuri Kabisa.
Absolutely tena kwenye magroup ya WhatsApp ni kweli kabisa 🤣Kila kona. Halafu siku hizi watu wameelimika. Wanaogopa tu kujiachia huko what's up ila mioyo yao 90% imechoka hata walioko huko ndani wapo tu ksbb wanaogopa
Hiki nadhani waliki-anticipate mapema ndio maana wakamkamata ila kama angekuwa huru na akaeleza sera zake zote aisee angewavuruga vibaya sana CCMNadhani kuna zaidi ya hiyo sifa moja uliyoitaja hapa inayoonekana kuchangia mabadiliko ya haraka na wananchi kuielewa vizuri CHADEMA inapigania nini kama chama cha siasa.
Kwanza hata bado Tundu Lissu na viongozi wenzake bado hawajaeleza sera zinazosimamiwa na chama; mbali ya hili la dharura linaloikabili nchi yetu; kuporomoka kwa CCM kwa njia ya ajabu sana chini ya uongozi wa Samia.
maigizo yote ya kujionyesha kuwa tofauti sasa kayasahau kabisa!Aibu sana mwanamke kuwa dictator
Hapana.Hiki nadhani waliki-anticipate mapema ndio maana wakamkamata ila kama angekuwa huru na akaeleza sera zake zote aisee angewavuruga vibaya sana CCM
Sasa anatuonyesha rangi halisi who she ismaigizo yote ya kujionyesha kuwa tofauti sasa kayasahau kabisa!
Hakika nimeamini. Aliyeturoga keshakufa zamani, tupo tupo tu.Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Mkuu sisi wengine hatuna vyama ujue!.Chadema acheni bangi
Ipo mtandaoni hatuwezi kukutafuniaNaombeni video au audio ya huyo sheikh akiyasema hayo
Karata ya haki imekuwa mwiba mchungu kwa CCM🤣Hapana.
Sasa hivi hakuna sera kubwa zaidi ya kutetea HAKI za waTanzania.
Kwanza muda wenyewe wa kubadili serikali ni finyu sana, kwa hiyo hapakuwa na haja ya kueleza sera zinginezo mbali ya HAKI wakati huu.
Sera ya kuiondoa CCM madarakani inajitosheleza yenyewe kwa sasa.
Tumeshindwa kuwa wamoja kuwawajibisha watawala dhalimu, hii imefanya kuwapa mwanya wa kutugawa na kufanya watakavyoHakika nimeamini. Aliyeturoga keshakufa zamani, tupo tupo tu.
Mbaya zaidi, hawakujuwa namna nzuri ya kuipoza. Sasa inakwenda kuwamaliza.Karata ya haki imekuwa mwiba mchungu kwa CCM🤣
Chawa usipompenda na kumsifia Bosi wako utakula wapiKila mtu hampendi kivp?
Hadi mm pia nipo kwenye hy list ya kila mtu?
Sasa Mm nmchukie kwa lipi?
Amesahau yaliyomkuta Diktekta mwenzake Mwanamke wa pale Bangladesh aitwae Sheikh Hasina alipofurushwa madarakani na nguvu ya umma.Aibu sana mwanamke kuwa dictator