Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Sasa hivi wamegeukia kwenye matamasha ya muziki na wasanii kila mkoa,jana walikuwa Tanganyika Packers.
 
Hii issue ya huyu Mama kukaza uso huku akidanganya watu, inatafakarisha sana na anaonesha dharau kubwa sana kwa Watanzania. Yote kwa yote matendo yake yanazidi kutuleta pamoja.
 
Umesahau mitungi ya Gas kwa wakina mama nchi nzima.
 
Hakuna anaejua ila kwa kuangalia maoni ya wananchi ni asilimia kubwa sana
Hiyo ni unreliable crude method ya kupima ushindi, washindani wenu (CCM) wana atleast some realistic data mapema, na ni chama ambacho ni extremely Resilient , na huo ndyo uchawi wa kudumu mchezoni. ndani ya CDM hiyo sifa ya "Resiliency" imekosekana, ndyo maana kimegawanyika, kuna G55 na team TAL, hiyo ni damage kubwa sana kwa chama kikubwa cha upinzani kilichokuwa ni tishio kwa CCM, so damage kubwa imetokea within CDM, kama kawaida yenu tukaneni na kunikejeli ukweli utabaki ni huo, I.e mmejimaliza wenyewe kabla ya kupambana na GOLIATH
 
Kama ni kweli inakuwaje wanaogopa reforms na kufanya mchakato wa kuandikisha wapiga kura kwa uwazi?
 
Aibu sana mwanamke kuwa dictator
Kuna watu wachache mno wamemtanguliza mbele na wanamsapot ili wafanye yao.(intrests)

Inshort hadi kukanyaga katiba ya ccm na kujipitisha unadhani aliweza mwenyewe?

Ila naamini hata ss hivi anatamani kuchomoka ila ndo asha kuwa "compromised"..

Bora Vp aliamua kuachia mapeema,alishaona kinachofuata!
 
Watanzania watamuandama sana hata kama uchaguzi wa kiini macho utafanyika. Kebehi zitakuwa nyingi mno na hata fanya kazi kwa utulivu na peace of mind
 
Kama ni kweli SHEIKH Yahya alitabiri hivyo, basi ni lazima utabiri wake utatimia kwa asilimia 200% kwa sababu kuu moja
huyo sheikh Yahya inaoneka alikuwa miongoni mwa MA HIGH PRIEST au makuhani wakuu wa kiroho waliotumika na mamlaka kuanzia AWAMU YA KWANZA kufanya matambiko mbalimbali kwa ajili ya nchi na viongozi na uongozi,ibada za giza,maagano,kwa kutumia mapepo majini ma maagano na kuzimu shetani mwenyewe na moja ya maagano hayo yaliyoingiwa kati ya shetani/kuzimu na hatima ya nchi ndio HUU UNABII.

REJEA NUKUU
Katika hotuba za mwalimu kuna hotuba moja mwalimu anaelezea jinsi alivyofanyiwa tambiko kwanza kabla ya kuelekea kudai uhuru wa Tanganyika kutoka kwa wakoloni.

Jambo lolote kabla halijatimia na kutukia katika ulimwengu wa kimwili huanza KUTOKEA na kukamilika KWANZA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO/kiroho.

Makuhani wale waganga/watabiri,wachawi walishatangulia kwanza kuuliza kuzimu(mizimu,sheatani,majini,mapepo) kuhusu uwezekano wa kupata uhuru kutoka kwa mkoloni ,KUZIMU /mizimu /mapepo/majini iliwahakikishia makuhani wa kiroho na wachawi wa nchi au watabiri juu ushindi kupata uhuru na maagano moja wapo yaliyoingiwa ni pamoja na kumtambikia mwalimu kwanza ndipo aende AKADAI UHURU wa nchi,na maagano baada ya uhuru ikiwamo issue za KUWASHA MWENGE na kuukimbiza rituals na mengine maagano yaliyoingiwa kati ya KUZIMU na NCHI

Ukaribu wa huyu aliyekuwa kuhani mkuu na sirikali ulionekana hata awamu ya kati kati hapa
pale alipotamka hadharani kuwa ANAMUONGEZE ULinzi wa majini mmoja raisi wa awamu wa kati kati hapo.

REJEA vita vya kagera pia alitabiri tutashinda vita hivyo kabla ya kuingia vitani.(kabla ya kuingia vitani ushindi tayari ulikuwapo)

Sasa kwa nafasi aliyokuwa nayo na ushiriki wake katika HiSTORIA ya nchi hii,UTABIRI WAKE sio wa kuubeza,UkISHINDANA nao UTAUMIA wewe maana haya ni maagano yaliyohusisha matambiko ,mazindiko,kafara n.k kati ya KUZIMU /SHETANI na sirikali/viongozi WA MWANZO/KWANZA hivyo ili upingane na huu utabiri inabidi nguvu kubwa kuliko nguvu ya shetani NGUVU YA MUNGU WA KWELI ,Mungu WA HAKI..)DAMU YA YESU.Sasa kwa vile serikali haiamini katika Mungu wa kweli Mungu WA HAKI.(DAMU YA YESU) na katika kutenda HAKI kwa ujumla wake.Hivyo naamini yale maagano ya kuzimu bado yako valid na yatatimia bila kizuizi zaidi pia aliyetabiri mwenyewe hayupo.

HITIMISHO
Kama ni kwweli sheikh yahya alitabiri hivyo..actualy sio kwamba alitabiri bali alikuwa na uhakika na maagano aliyoingia na KUZIMU sio JUST utabiri TU bali kiroho ilikwishatokea hivyo na kugongwa muhuri za moto, time traveller,Jambo lolote huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho kabla ya kutokea physically)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…