Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Ulikua mdogo CCM Kuna kambi ya R.I.P Lowassa na JK ? Kuna mtu alitoka wazi wazi akapinga Jk ukutenda haki kwenye kupeperusha kiti cha Urais kawaida kwenye G55 ni vijana ambao hata wakifukuzwa wanasaulika kesho
 
Sio yeye tue
Kuna watu 3 tofauti wao hawajawa direct ila nikafungua code
Lkn pia hii issue I'll bidi niende UT be nikaikuta ,najua shekhe yahya Alikuwa na mambo haya ila nilikuwa simfuatilii japo najua pepo za utambuzi pia zinaona Kila kitu
 
Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Braza umenikumbusha Story ya kuwashwa Mwenge ya kina

1. Master Forojo Ganze
2. Julius Primamu Mugambwa
3. Shekh Yahya Hussein
4.Saidi Mtiga
5. Mfaume Tumbo
Majina hayo kama sijayasahau mwenye kukumbuka ataboresha

Inasemekana maneno ya Forojo Ganze hayakujulikana mpaka anakufa ilikiwa mtihani sana.
 
Sana halafu amewaharibia sana wanawake wenzake big time kuaminiwa kwenye nafasi kubwa sababu ya tamaa yake ya madaraka..... Alitakiwa aache alama ili awe role model kwa wengine
Itakuwa ngumu tena kuaminika tena na kupeww hizo nafasi
 
Sio miaka miwili Kaka ni Chini ya Miezi motatu
 
Hakuna huo utabiri acha upotoshaji
 
Kuna kitu kimoja sisi binadamu tukiwa hai tunajiona wajanja sana...............yaani tunajiona mpaka tumemzidi akili aliyetupa pumzi na uhai bureeeeeeeeeeeeeee................bila hata sumni...........umeshakuwa raisi tenda haki uipate pepo ..........mbona ni mtihani mdogo sana ...........unakubali kuishi vibaya kwa ajiri ya kitu kidogo tu..............utafaidika na nini ukute wewe ni wa motoni na hao uliowaachia paradise duniani wanakuja kuwa kuni zako mwenyewe??...............TENDA HAKI UIPATE PEPO ACHA KIBURI
 
Umeenda YouTube ? Nenda
 
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa huko ikulu kuna nini mpaka kunawafanya watawala wanakuwa vipofu kiasi hiki......kinachoendelea Tanzania ni kujidhalilisha tu mbele ya umma
 
......limekuwa jambo la familia naona Mchengerwa amepagawa kabisa yuko tayari kwa vita akitetea familia.....ni zamu yao na wao.....kazi sanaa Mchngrw ana fikiri ana nguvu zaidi hata ya PM khaaa sawa muda tuuu
Sasa nimeelewa
Ila hataweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ