Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
PUMZI PUMZI PUMZI............LAKINI WANASAHAU WAKIWA HAWANA PUMZI WATALINDWA NA WANYWA GONGO NA WALEVI WA VILOBA...............MWISHO WA TISS NI MAKABURINI.................HAKUNA CHA SECURITY WALA VIEITEMimi mwenyewe nashindwa kuelewa huko ikulu kuna nini mpaka kunawafanya watawala wanakuwa vipofu kiasi hiki......kinachoendelea Tanzania ni kujidhalilisha tu mbele ya umma
Maumvi alifanya temporary solo non lethal rebellion, CCM haikugawanyika into two warring factions kama ilivyo CDM, Maumvi alivyofeli project yake alirudi kuomba nsamaha CCM.Ulikua mdogo CCM Kuna kambi ya R.I.P Lowassa na JK ? Kuna mtu alitoka wazi wazi akapinga Jk ukutenda haki kwenye kupeperusha kiti cha Urais kawaida kwenye G55 ni vijana ambao hata wakifukuzwa wanasaulika kesho
Acha upotoshaji kwa maneno ya vijiweniAcha hofu, October sio mbali๐
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Sio mimi mkuu na Shekh Yahya, ndio maana unaona Samia anatapatapaAcha upotoshaji kwa maneno ya vijiweni
Leta hio nukuu tuone?Mbona huyo huyo Sheikh Yahya aliwahi kutabiri kuwa CCM itatawala milele.
Hakuwahi kusema kitu kama hicho.acha upotoshajiSio mimi mkuu na Shekh Yahya, ndio maana unaona Samia anatapatapa
We kaa kwa kutulia mpaka October uone kitakachotokea ndio kila kitu kitaishia hapo na unabii wa Shekh Yahya utaendelea mpaka 2030Hakuwahi kusema kitu kama hicho.acha upotoshaji
Wamfuate na mwanae,ambae nae ni mtabiri,uenda ana mwendelezo wa huo utabiri uliokua wa baba yake!!Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Uko sawa kabisa MkuuMama alikosea angeachana na Lissu akaendelea na Kampeni zake bila hata kumshika na yeye akaendelea na Kampeni maana uchaguzi ungefanyika vizuri tu hata bila Reforms ila kumkamata Lissu ule ulikua mtego sasa kila mtu amejua uchaguzi kumbe sio huru na haki
Kalewa madaraka huyo mwanamkeUko sawa kabisa Mkuu
Tuwafufurushe hawa MajambaziMkweame panic mnoo..suaka la familia zaidi...yukotayari afe kwanza kulinda familiaa
.Kalewa madaraka huyo mwanamke
Acha upumbavuWe kaa kwa kutulia mpaka October uone kitakachotokea ndio kila kitu kitaishia hapo na unabii wa Shekh Yahya utaendelea mpaka 2030
Time will tell mwana CCM ๐Acha upumbavu
Sas
Sasa mbona Umpenic shida nini kwa nini yaishie kwa Rais mwanamke nani hajui kumekua na tabia ya kupunguza vitu watawala wasivyo vipenda?
Vingereza vingi hata havina Pointi๐๐Maumvi alifanya temporary solo non lethal rebellion, CCM haikugawanyika into two warring factions kama ilivyo CDM, Maumvi alivyofeli project yake alirudi kuomba nsamaha CCM.
Tofautisha kambi za muda mfupi kwa uchaguzi wa raisi na hiyo ya kwenu ambayo ni lethal permanent split, ndyo maana hiyo split imefanikiwa kuiua CDM, baada ya uchaguzi chama hakitakuwa relevant tena
๐๐Wamfuate na mwanae,ambae nae ni mtabiri,uenda ana mwendelezo wa huo utabiri uliokua wa baba yake!!