Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Huu utabiri wako hauna tija yoyote ile kwa Watanzania wapenda michezo kama mimi.
 
Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!

Tunza my comment!
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
YANGA NA SIMBA... KIPINDI HIKI SIO SAWA NA MIAKA ILE NDUGU.... WATU WAMEWEKEZA NA WANA WACHEZAJI WENYE UZOEFU MKUBWA....
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Una haki ya kutabiri ngoja tuone
 
Wa kufungwa hapo ni Yanga tu, ila kwa simba akifanya vibaya sana itakiwa draw ..
 
Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!

Tunza my comment!
One Day kama Kamsemo ka One Day Yes yaani Mwenyewe Unajionea Huruma kabla Hujahurumiwa
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Kama unauhakika na utabiri wako kwanini na Mimi nitupie wangu..
Hapo ndipo unapoonekana unalabdia.
 
Simba hawezi kufungwa na horoya mkuu nakuhakikishia 100% wala yanga hawezi kufa timu zote zinashinda away.
 
Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!

Tunza my comment!

Horoya ni vibonde!???hv unajua mpira kweli we jamaa???lol
 
Back
Top Bottom