Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!

Tunza my comment!
Nashauri msiojua mpira muwe mnakaa kimya
 
Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!

Tunza my comment!
Upupu mtupu ila sion ajabu kwa Sababu kioo halisi cha mashabiki wengi wabongo tayari kimeonyeshwa na wachambuzi ila sio wote ni baadhi
 
Sasa huo na Taifa una tofauti gani??
Mkuu mandhari ya Lupaso na hapo yanafanana? Nasikia hata mashabiki wamezuiwa kuna mtu yuko huko anasema hali ya uwanja haina vigezo sasa sijaelewa vigezo gani kama mechi inachezwa hapo halafu hauna vigezo... 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Simba draw ya bila bila na yanga atafungwa Moja tu
 
Haya ule utabiri wangu unaenda kutimia. Leo anaanza kufungwa simba kisha kesho anafungwa yanga🤣🤣

Kesho saa 3 kamili tutakuja tena hapa!!
Magoli kwa simba umepatia,ila kesho hautakua sawa na huenda Yanga ikawafunga mdomo wengi!!
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Game ya Yanga kesho inatoa GG, na kama Yanga "atafungwa" basi ni tofauti ya goli moja na si vinginevyo...

Nb.
Uwezekano wa sare ni mkubwa mno
 
Back
Top Bottom