Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Huu utabiri wako hauna tija yoyote ile kwa Watanzania wapenda michezo kama mimi.Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
Kama hicho ndio kinachokupa furaha sioni kosaSimba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
YANGA NA SIMBA... KIPINDI HIKI SIO SAWA NA MIAKA ILE NDUGU.... WATU WAMEWEKEZA NA WANA WACHEZAJI WENYE UZOEFU MKUBWA....Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
Una haki ya kutabiri ngoja tuoneSimba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
One Day kama Kamsemo ka One Day Yes yaani Mwenyewe Unajionea Huruma kabla HujahurumiwaKwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!
Tunza my comment!
Angesema Uto watashinda nagikiri ungekenua mpaka koromeo lionekaneHuu utabiri wako hauna tija yoyote ile kwa Watanzania wapenda michezo kama mimi.
Kama unauhakika na utabiri wako kwanini na Mimi nitupie wangu..Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
Kwahiyo unasema ukuta WA Simba ni imara zaidi kuliko wa Yanga?
Kweli Mbumbumbu fc hamuikubali Yanga kabisa!
Ngoja one day tuwapige 5 - 0 ndo mtatukubali.
Just kwa taarifa yako tu Mwarabu anakufa 2-0 kwao na Simba anapigwa kama Ngoma japo kapangiwa vibonde!
Tunza my comment!
Us monastir itacheza na Yanga na Leo kwenye ligi ya kwao imeshinda goli mbili uuuuiiwiiii Yanga ijiangalie