Umenikumbusha hii hali ya Classical Conditioning 😅Conditional reflexes or bioligical clock , ungekuwa umesoma biology usingejitamba kuwa umegundua
Mkuu ina maana nyeto inaziba masikio au inaongeza usingiziHii ni kweli ila kwa wale wapiga kunyeto waliokubuhu hata alarm ikilia hawasikii labda wawe wameunganisha kwenye sabufa kupitia Bluetooth
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakuwa huna jambo la muhimualarm hunifanya nlale zaidi..hahah..nafanya snooze dakika 5..snooze dakika 5..aaah zima kabisa lala
Nyeto inauzembesha ubongo kiasi kwamba mambo mengi yatahitaji forceMkuu ina maana nyeto inaziba masikio au inaongeza usingizi
Me tooMimi hata kama nikiamka zikiwa bado zimebaki dakika kumi alarms kuita lazima nilale tena kukamilisha ratiba.
Mambo gani mkuu yatakayohitaji force ikiwa unatwanga poolNyeto inauzembesha ubongo kiasi kwamba mambo mengi yatahitaji force
Kama hili la kuchelewa kuamka/uchovu uliokithiriMambo gani mkuu yatakayohitaji force ikiwa unatwanga pool
OK sawa nilifikiri mpa kKama hili la kuchelewa kuamka/uchovu uliokithiri
Kwahiyo umefurahiWatafiti wa Jf mnafurahisha😅
DaaaaahHili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule
Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha
Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
Usijali mkuu zitaonwa na vizazi vijavyo maana kwa sasa wanaJF wengi wamejikita kwenye ule uzi wa rikiboy wa kula tunda kimasihara na akina Maxence Melo & Moderator wanaupromote kinyamaHizi mada huwa ni nzuri sana ila huwa haziendi mbali...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mdogo wangu hii ilinisababishia simu niwe naiweka mbali ili kitendo cha kwenda kuizima alarm basi najua usingizi nishaukimbiza.
Mana nilikuwa na tabia ya kurudi kulala huku naongeza dakika tano tano 😂 hadi siku moja nikachelewa kwa Mdosi. 😂
Kwanini mtu uchukie kuamka kutoka usingizini.Hata na mimi huwa inanitokea japo siipendagi hiyo hali kwani huwa nadhaniaga bado nina masaa kadhaa mbele kumbe muda ndo umeisha. Aisee.
Nachukiaga sana yaani.
Wabongo wengi hawana ubongo! Muulize Hayo.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk.
Ubongo hua unafanya kazi kutokana na vile akili yako itaUkomandi. Pindi unaposeti alarm kuamka saa kumi basi unakua umeusisitiza ubongo wako kwamba saa kumi alarm italia so Inabidi uamke Hence Ubongo wenyewe unakua unajua Inabidi uamke kabla ya saa kumi.
Hakuna uchawi hapo ni Saikolojia tu[emoji3577]
You're what you think....Fikra zako zaweza kujenga au kubomoa
Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)
MATE; Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that Topic. Will be focusing on memory stored in brain and Soul respectively. Kuna hivi vitu viwili...www.jamiiforums.com
Hii kwenye research huwa tunaita affected variable ambazo tuna Zi draw kutoka kwenye conceptual frameworkInategemea na umuhimu wa jambo linalokufanya uamke muda huo, masaa uliyolala, hali ya uchovu, na mazingira.
Kuna watu wanaweka alarm na bado wanamiss paper. Yaani hapo ni malaika wako tu wanakusaidia kukuamsha
Biological clock.Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule
Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha
Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini