moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Naunga mkojoHili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule
Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha
Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini