UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Hivi wewe mzima kweli hauleweki unaandika nini ili ndiyo tatizo la kuingia JF umetutika viroba.
 
Teh teh teh tehe huu nao ni utafiti wa Mfumo Kristu.....punguza haya mambo.

 
MFUMO "KRISTO" HAUKWEPEKI...

YESU KRISTO ndiye aliyeiumba DUNIA (Mithali 8:22-30) na ndiye huyo ATAKAYEWAHUKUMU WANADAMU WOTE (Ufunuo 22:12, 13).

Hata tarehe ya leo inasomeka Jumapili September 15, 2013 AD na wala sio BC (BC=Before Christ). AD=Anno Domino yaani "Mwaka wa BWANA" na huyo BWANA anayezungumzwa hapo ndiye YESU KRISTO.

Huu ni "UKWELI MCHUNGU" kwa WAPINGA KRISTO wote. Hii ni hoja inayozidi SIASA, UCHUMI, ELIMU na hata JAMII. Hii inahusu ROHO ZENU na MAISHA BAADA YA KIFO.
If you can not BEAT JESUS, then JOIN HIM. Karibuni kwa YESU awape UZIMA WA MILELE.

Fanyeni mtakavyoweza JUENI LEO KWAMBA MFUMO "KRISTO" HAUKWEPEKI KAMWE.
 

unahitaji Darsa la Kodi ujuwe Kodi inalipwa Vipi! Ina maana mpaka leo ulikuwa hujui Muuza Vitumbua na Maandaz wa Barabarani analipa Kodi japo hajui hata kujaza form ya Return au ulipo mlango wa TRA? Bora kutokuwa na Akili kabisa kuliko kuwa na Akili za kijinga!
 

Takbeer!! Mmeanza kukiri Uwepo wa Mfumo Kristo japo kwa Taaaaabu, Mfumo Kristo haukubaliki Tushirikiane kuutokomeza!
 

Maandiko ya biblia yanahusu ulimwengu mzima,

Tanzania ni moja ya nchi zisizotawaliwa kwa mfumo wa aina yoyote ya "KIROHO"

Nchi ya Ujerumani ni ya kikristu ambapo makasisi wake hulipwa mishara na Serikali,

Nchi ya Uingereza nayo ni ya mfumo kristu ambapo viongozi wa kiroho wanalipwa na serikali,

Nchi yenye mfumo wowote wa "kiroho". Mfano mfumo islamu: haitatokea hata chembe kiongozi mkuu wa nchi kuwa mkristu,

Vivyo hivyo nchi yenye mfumo kristu haitatokea kiongozi wa nchi kuwa muislamu!

Hivyo ndivyo mfumo kristu unavyofanya kazi,

Acheni bla bala hapa
 

hizo ni official data..ila dara kuna watu zaidi ya mil 10 wengi wakiwa hawana muda kuhesabiwa,wengine wakiwa akina nyinyi mliogoma....so kwa vyoyote kuna data overlaping...ila overlaping ya data hapa haimpingi Yericho ndio maana hata mmi sikuulizia sana mamba mengi..mara nyingine mnahitaji tumia akiliz enu kupunguza to and from questions.
 
Umeulizwa Barrick Gold halipi kodi? unaleta stori ndefu nani hajui kama TBL wanaongoza kuliopa kodi, wewe jamaa mjinga mnoooo.

haha ..vitu vingine tumia akili ili kupunguza cyclic reasoning.

Barrick lazima walipe kodi kwa vile ni utamaduni wa kimagharibi..ila kiasi gani wanacholipa na asilimia ngapi ktk pato litokanalo na kodi?


Ni kiasi ndicho kinachomatter na ukubwa w abiashara yao....ndipo utawakuta akina Bkhresa, Manji etc
 

Asante kwa kujitolea kujibu, lakini swali langu liko directed to Yericko. Yeye ndiye anayebeba dhamana ya huu utafiti sio wewe.

Mwache ajikusanyekusanye aje ajibu mwenyewe, ili baadae asiseme kuwa sio maneno yake.

What I want ni percentage ya watu walio kwenye umri wa kufanya kazi/kuajiriwa, sio porojo porojo kama ulizoandika hapa. I want NUMBERS and ​I want them from Yericko...
 

hah nimelijbu hili swali long time:

-Makosa ya jinai ni ya jamhuri jamhuri ndio inayoshitaki mhalifu.

-Pia wakristu km raia chini ya sheria wanalindwa kwa sheria ya nchi na serikali ndio inapaswa toa huo ulinzi...so kwa utaratibu huo mtapigana sana serikali kwanza kabla hamjaifikisha hii nchi ktk vita za kidini.hata wakristu wangekuwa na vicha akm nyie nao pia wangedhibitiwa na serikali

Kingine ambacho kinawasumbua kuelewa huko msikitini?
 
Jibu hoja za Mkuu Nicholas sio malalamiko tu
Hoja zipi? Hoja yako ya utafiti imekuacha mtupu, yule jamaa wa Wavuti kakuweza kweli teh teh teh, majibu yake umeyachukua kisha umeedit bandiko lako ukayaweka, hauna tofauti na saa mbovu.
 
Kwavile ni mtizamo wako upo huru kusema japo kuwa halimaanishi usemalo kama ni kweli maana ukweli upo wazi kabisa
 
Hivi wewe mzima kweli hauleweki unaandika nini ili ndiyo tatizo la kuingia JF umetutika viroba.

Kwa wanye uzoefu wa JF ....hii habari ya "haueleweki, haieleweki " neno la mjina la kusema umenishika sina cha kusema.NI maarufu sana kwa magamba na alqaeda.
 
Kumbe hii dunia imeumbwa na Yesu nilikuwa sijui.

CC; Ally Kombo, Gavana,
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh tehe huu nao ni utafiti wa Mfumo Kristu.....punguza haya mambo.

Ndio inakuweka mjini hiyo...ile rushwa ya lumumba wanaiba mapato ya hii...sijui sasa km sembe, mirungi, kuber.....uganga, ubani, udi ,pweza ...taarabu.......bao vinaingizia nchi nini?
 

Nipo hapa tangu alfajiri ya leo,

Lete hoja yako hapa ndugu,
 
Kwa wanye uzoefu wa JF ....hii habari ya "haueleweki, haieleweki " neno la mjina la kusema umenishika sina cha kusema.NI maarufu sana kwa magamba na alqaeda.
Hebu jisome ulichoandika kama utaelewa umeandika nini punguza mbege zitakuuwa
 

haha....wauza vitumbua ktk vichochoro hawalipi kodi, wauza mirungi na waganga uliowakataa...wauza unga, wauza udi, ..wengi hawalipi..Kwanza saa wanazojipanga huko barabara nav vibarazani ni muda wakati maduka yamefungwa..pita miji yote nchini ...sehemu ambzo mchana ni maduka..jioni ukipita kunawaka mioto na vyakula vyenye viungo vingi sana....huku wakichoma udi, na vitu vingine vy akishirikina wakiamini vinavuta bishara..waokopa ushuru wa jiji saa hizo hawapo....

Hembu sema tena wapi unajua uokotaji wa ushuru..?kn unabisha pita dar sehemu yoyote ya waswahili wengi.....uone uwekezaji wao..ila ukipita kwa wakristu utakuta kuna bar iliyosajiliwa na mpishi anakuwa kakodi kwa mwenye bar ambaye anakuwa answerable ktk kodi....

Hembu kidogo basi mtumie kaili ili kupunguza maswali ya kurudiarudia km habari ya "kuku na yai"
 
Asante sana kwa ufafanuzi murua mkuu wangu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…