Ndugu yangu Yeriko, kama kweli ulizunguka mikoa uliyotaja, ni wazi kuwa ulitumia gharama si kidogo bali ni kubwa kwa misingi ya kiuchumi na muda pia. Lakini nasikitika kukueleza kuwa, matokeo ya utafiti wako yamebeba ujumbe ufuatao:
(a) Huna uzoefu na masuala mazima ya utafiti kwa sababu hukuaddress swali la utafiti (Hypothesis) na hivyo kutoka nje ya swali.
(b) Huenda ulifanya vizuri kwenye utafiti lakini, aliyekufadhili amekulazimisha kutoa matokeo ya aina hii.
(c) Umefanya utafiti huku ukiwa na majibu kichwani ambayo ndo unataka tuyaamini.
Kwa ufupi ni kwamba ulichokieleza siyo utafiti uliyokusudia kujibu swali la Je ni kweli kwamba kuna mfumo kristo katika uendeshaji wa Serikali?
Pengine ningekuona kuwa umefanya utafiti iwapo ungekuja na matokeo yanayojibu masuala na sio idadi ya waumini ambayo kwa kawaida ilitakiwa iwe sample tu na siyo conclussion ya issues. Mathalani badala ya kutuorodheshea idadi ya waumini wanaoshiriki kwenye hizo shughjuli ulizozitumia katika utafiti wako, sample hiyo ungeitumia kupata maoni yao yanayokanusha au kuthibitisha hypothesis yako.
Pia utafiti wako umepotoka kwa sababu hukujipa shida ya kujiuza nini maana ya mfumo kristo ambapo baada ya kutupatia tafsiri, ungetumia sample yako kukanusha au kuthibisha hypothesis yako.
Ni kutokana na ukweli huo, tafadhali naomba utupatie majibu ya kweli ya utafiti wako la sivyo tutaamini kuwa wewe ni miongoni mwa wasomi wengi wa kibongo ambao hawakuelimka na hawataki kuelimika licha ya kusomeshwa na raslimali za nchi kwa niaba ya wengi.