Mkuu Somtyme watu unaweza kufikri sijui ni chuki au watu wengne wanafkr Kwa kutumia matako, hv Diamond ni wa kufananisha na nature kweli au Mr nice ??? Hyo popular ya Mond ni ya kufananisha na nature duh, hz chuki zinaashiria kweli uchawi upoumaarufu wa sifa ambao unakomea tz VS umaarufu wa tija ambao ni around the world then anakuja mlevi1 na kijiutafiti uchwara chake kutuaminisha ujinga
PAMBAFU KBS
Diamond ni habari nyingine hakuna msanii atayetokea akawa ni maarufu zaidi ya mond.Mkuu Somtyme watu unaweza kufikri sijui ni chuki au watu wengne wanafkr Kwa kutumia matako, hv Diamond ni wa kufananisha na nature kweli au Mr nice ??? Hyo popular ya Mond ni ya kufananisha na nature duh, hz chuki zinaashiria kweli uchawi upo
Unajua maana ya QIBLA?Ni nini sasa..?
Dada unatumia nguvu kubwa Sana mond ni maarufu duniani wakati huyo nature umaarufu wake mwisho chalinze.Unajua maana ya QIBLA?
Mimi na wewe nani anatumia nguvu? dunia ya sasa kiteknolojia si sawa na zamani fact ipo hapa utandawazi umeinua mambo mengi sana.Dada unatumia nguvu kubwa Sana mond ni maarufu duniani wakati huyo nature umaarufu wake mwisho chalinze.
Zamani huyuhuyu mzee Majuto Allah amrehemu hapahapa Dar kuna watu walikua hawamjui,teknolojia ilivyokua bwana yule kila kona ya Tanzania na Afrika Mashariki watu wengi wanamfahamu ndio maana nakwambia technolojia tu.Dada unatumia nguvu kubwa Sana mond ni maarufu duniani wakati huyo nature umaarufu wake mwisho chalinze.
Jamvini kuna wa Kunishinda?Mkimaliza kujadili umaarufu wa necha na dimond tujadili nani na nani maarufu jamvini
Tatizo nature umaarufu wake unaishia chalinze na mondi ni maarufu duniani.Jamvini kuna wa Kunishinda?
Unajua maaana ya SIMBA BABA LAO...?Unajua maana ya QIBLA?
Kwani sasa hivi hakuna technology sasa mbona juma nature is nothing,avume sasa ,ko kuna wasanii wangapi wapo lakini kwa SIMBA BABA LO hawafui dafu ebooob DIAMOND BABA LAO.Mimi na wewe nani anatumia nguvu? dunia ya sasa kiteknolojia si sawa na zamani fact ipo hapa utandawazi umeinua mambo mengi sana.
Hii ni sawa na Nyerere alikuwa na fursa zote za kuwa tajiri tena utajiri wa halali lakini akaishia kuwa maskini.Mpaka Leo kina Makongoro na Andrew wanaishi kwa kudra za watu wengine tofauti kabisa na Mwinyi,Nkapa au JK families!britanicca,
Bahati mbaya umaarufu wa Juma Kiroboto haukugeuzwa kuwa hela.
We jamaa unaonekana ufuatilii mziki Sana na ujui Nini kinaendelea kwenye mziki wetu hata kwenye social network uingiagi na pia umjui diamond mwaka Huu diamond amefanya show kwenye ukumbi mkubwa wa Columbus wa nchi ya Germany watu walikuwa wengi na sold out, pia diamond mwaka Huu alifanya show nchini Korea kusini na ambapo mapokezi yake yalikuwa makubwa 90% walikuwa wakorea waliobaki walikuwa weusi.Mwaka Huu alikuwa na show za nje 56 na zote kajaza na zipo YouTube unaweza kwenda kuangalia na zingine alizirusha live.Pia diamond mwaka Jana alifanya show Mayotte ambapo pia alijaza ambapo show yake aliifanyia uwanjani.Nilivhojifunza Wana JF wengi bado ni washamba Ila wajuaji wengi mno. Tanzania hakuna hata msanii mmoja maarufu Africa nzima au duniani kote. Huo ni uzezeta wa kutokusafiri na kujionea ni miziki ipi inawika duniani kote. Wasani maarufu Duniani ni wale wanaotoka USA. Hawa wasanii kila nchi utasikia nyimbo zao zikipigwa mfano Jay-z,Pi didy , Akon, Maria Cary , Rihanna, Beyonce, n.k.. Pia wasanii wa Nigeria wanaumaarufu sehemu nyingi Duniani. Hao akina Diamond, Alikiba, Juma nature umaarufu wao unaishia nchi zinazozungumza Kiswahili tuu.
kila binadamu anawakati wake mbwembwe alizofanya babangu ujanani mwake hawezi tena kuzifanya Leo........Zingatia hapa anafananishwa nature na Mond usiwahusishe wengine hawapo kwenye madaKwani sasa hivi hakuna technology sasa mbona juma nature is nothing,avume sasa ,ko kuna wasanii wangapi wapo lakini kwa SIMBA BABA LO hawafui dafu ebooob DIAMOND BABA LAO.
Kama unamtu karibu yako muislam au hata kama wewe ni muislam rejea maaana ya QiblaUnajua maaana ya SIMBA BABA LAO...?