UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

Ifikie hatua watu tukubali Tu huu ukweli mchungu kuwa Mond ndo msanii maarufu Zaid kuwah kutokea kwenye historia ya mziki wa tz, na Kwa hal ilivyo itachukua miaka mingi Sana kutokea mwinginewa kufika level hzo, celebrity anayeweza kumkarbia ni Mbwana Samata,
 
umaarufu wa sifa ambao unakomea tz VS umaarufu wa tija ambao ni around the world then anakuja mlevi1 na kijiutafiti uchwara chake kutuaminisha ujinga
PAMBAFU KBS
Mkuu Somtyme watu unaweza kufikri sijui ni chuki au watu wengne wanafkr Kwa kutumia matako, hv Diamond ni wa kufananisha na nature kweli au Mr nice ??? Hyo popular ya Mond ni ya kufananisha na nature duh, hz chuki zinaashiria kweli uchawi upo
 
Mkuu Somtyme watu unaweza kufikri sijui ni chuki au watu wengne wanafkr Kwa kutumia matako, hv Diamond ni wa kufananisha na nature kweli au Mr nice ??? Hyo popular ya Mond ni ya kufananisha na nature duh, hz chuki zinaashiria kweli uchawi upo
Diamond ni habari nyingine hakuna msanii atayetokea akawa ni maarufu zaidi ya mond.
 
Dada unatumia nguvu kubwa Sana mond ni maarufu duniani wakati huyo nature umaarufu wake mwisho chalinze.
Mimi na wewe nani anatumia nguvu? dunia ya sasa kiteknolojia si sawa na zamani fact ipo hapa utandawazi umeinua mambo mengi sana.
 
Dada unatumia nguvu kubwa Sana mond ni maarufu duniani wakati huyo nature umaarufu wake mwisho chalinze.
Zamani huyuhuyu mzee Majuto Allah amrehemu hapahapa Dar kuna watu walikua hawamjui,teknolojia ilivyokua bwana yule kila kona ya Tanzania na Afrika Mashariki watu wengi wanamfahamu ndio maana nakwambia technolojia tu.
 
Mimi na wewe nani anatumia nguvu? dunia ya sasa kiteknolojia si sawa na zamani fact ipo hapa utandawazi umeinua mambo mengi sana.
Kwani sasa hivi hakuna technology sasa mbona juma nature is nothing,avume sasa ,ko kuna wasanii wangapi wapo lakini kwa SIMBA BABA LO hawafui dafu ebooob DIAMOND BABA LAO.
 
Nedago, Wewe inaonekana haujawahi kusafiri kuna watu hata hawaujui Tanzania kama ni nchi . Diamond umaarufu wake ni hapo Tanzania na east Africa na nchi wanazoongea Kiswahili Tu kwamfano east Congo na Comoros Ila duniani diamond hafahamiki hata kidogo. Wewe unaelewa mchache. Diamond show anazoenda kupiga USA na Ulaya wanaomwita ni Wale watanzania waishio huko na kuwakaribidha marafiki zao wa ngozi nyeupe Hilo uelewe. Wasanii maarufu duniani ni akina Beyonce, Rihanna, R.kelly, J-zay, Akon, . Wewe ni mshamba inaonekana haujawahi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania
 
Nilivhojifunza Wana JF wengi bado ni washamba Ila wajuaji wengi mno. Tanzania hakuna hata msanii mmoja maarufu Africa nzima au duniani kote. Huo ni uzezeta wa kutokusafiri na kujionea ni miziki ipi inawika duniani kote. Wasani maarufu Duniani ni wale wanaotoka USA. Hawa wasanii kila nchi utasikia nyimbo zao zikipigwa mfano Jay-z,Pi didy , Akon, Maria Cary , Rihanna, Beyonce, n.k.. Pia wasanii wa Nigeria wanaumaarufu sehemu nyingi Duniani. Hao akina Diamond, Alikiba, Juma nature umaarufu wao unaishia nchi zinazozungumza Kiswahili tuu. britanicca,
 
britanicca,
Bahati mbaya umaarufu wa Juma Kiroboto haukugeuzwa kuwa hela.
Hii ni sawa na Nyerere alikuwa na fursa zote za kuwa tajiri tena utajiri wa halali lakini akaishia kuwa maskini.Mpaka Leo kina Makongoro na Andrew wanaishi kwa kudra za watu wengine tofauti kabisa na Mwinyi,Nkapa au JK families!
 
Nilivhojifunza Wana JF wengi bado ni washamba Ila wajuaji wengi mno. Tanzania hakuna hata msanii mmoja maarufu Africa nzima au duniani kote. Huo ni uzezeta wa kutokusafiri na kujionea ni miziki ipi inawika duniani kote. Wasani maarufu Duniani ni wale wanaotoka USA. Hawa wasanii kila nchi utasikia nyimbo zao zikipigwa mfano Jay-z,Pi didy , Akon, Maria Cary , Rihanna, Beyonce, n.k.. Pia wasanii wa Nigeria wanaumaarufu sehemu nyingi Duniani. Hao akina Diamond, Alikiba, Juma nature umaarufu wao unaishia nchi zinazozungumza Kiswahili tuu.
We jamaa unaonekana ufuatilii mziki Sana na ujui Nini kinaendelea kwenye mziki wetu hata kwenye social network uingiagi na pia umjui diamond mwaka Huu diamond amefanya show kwenye ukumbi mkubwa wa Columbus wa nchi ya Germany watu walikuwa wengi na sold out, pia diamond mwaka Huu alifanya show nchini Korea kusini na ambapo mapokezi yake yalikuwa makubwa 90% walikuwa wakorea waliobaki walikuwa weusi.Mwaka Huu alikuwa na show za nje 56 na zote kajaza na zipo YouTube unaweza kwenda kuangalia na zingine alizirusha live.Pia diamond mwaka Jana alifanya show Mayotte ambapo pia alijaza ambapo show yake aliifanyia uwanjani.

Sasa hiv ameingia kwenye sokoo la anglofranco nchi ambazo zinaongea ufaransa baada ya ngoma yake ya "inama" kufanya vizuri sana maeneo hayo.tumeona drogba,etoo na Pogba alicheza hii ngoma nakumtag diamond hiv sasa amepata show Cameroon,Senegal,ivory coast,madagasca na ufaransa.Mzee baba mondi yupo level nyingine kabisa me nimekuandikia kifupi tu usiwe unajifungia humu jamiiforum nenda YouTube ukaone mambo anayofanya mondi.
 
Kwani sasa hivi hakuna technology sasa mbona juma nature is nothing,avume sasa ,ko kuna wasanii wangapi wapo lakini kwa SIMBA BABA LO hawafui dafu ebooob DIAMOND BABA LAO.
kila binadamu anawakati wake mbwembwe alizofanya babangu ujanani mwake hawezi tena kuzifanya Leo........Zingatia hapa anafananishwa nature na Mond usiwahusishe wengine hawapo kwenye mada
 
Mimi nakubaliana na mtoa hoja kwamba juma alikuwa maarufu zaidi, lkn utofauti wa mond na juma, mond ameweza kusimama ktk nafasi hiyo kwa kipindi kirefu zaidi. Wakati diamond yupo ktk miaka 10 sasa Nature yeye alikuwa imara ni kama miaka si zaidi ya 5 yani 2001-2006.
 
Back
Top Bottom