excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,954
Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅
Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili.
Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano.
Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na Viashiria (TDHS-MIS 2022)