Ntombisane guyashona lah.Ulaya unafananisha na kina segito?niangusage?Ntombenkale
Ezulukaya lami
Ntombisane guyashona lah.Ulaya unafananisha na kina segito?niangusage?Ntombenkale
Dah! Inamaana kule habar za Kutumia kinga hawana habari nazo 🤔Sababu ni zifutazo...
Njombe kuna wafanyabiashara wageni kila uchao,wanafuata viazi mbao na siku za usoni maparachichi,ukifika lile baridi lazima wanatafuta wanawake na wadada wa Njombe ni wasiri hivyo unakuta watu wanaliwa chinichini wanafichana so wanazungukana weeee wanapakazana weee hiyo bi moja ya sababu
Sio mambo yao kabisa!Dah! Inamaana kule habar za Kutumia kinga hawana habari nazo 🤔
Kubalini kuwa watu wa Dar ni malaya (wanaume) na machangudoa (wanawake)Dar-Es-Salaam inawakilisha mikoa yote ya Tanzania. Ila kuna makabila toka nje wako wengi sana Dar, mfano wachaga, wakurya, wasukuma. Makabila mengine wapo wachache sana.