secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kuwa na mpenzi mmoja hainogi hata kidogo.secretarybird vitu vyenu hivi
Wivu haujengi katika mapenzi.
Kuwa na mpenzi mmoja hainogi hata kidogo.secretarybird vitu vyenu hivi
Sizijui nifundisheHatua za Research unazijua kweli?
Na hao ndo waliochangia kwa wingi hiyo takwimu.Na wahaya wengi Sana Dar.
Fatilia huyo mmoja wako anao wamgapi?Mbona mimi nipo Dar na niko na mmoja tu[emoji28]
Ni mwendo wa kusokotana tu...hakuna namna...unakuwa mtulivu mwenzako anasokotwa huko... Ni mwendo wa kusokotana tuBila watu kufungashana hivyo wengine tungekuwa single
Haya ndio mambo tunayapenda wachapishe zaidi. Vibamia na mbususu ni vya kushareUnaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅
Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili.
Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano.
Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na Viashiria (TDHS-MIS 2022)
View attachment 3346121
Itakuwa hao wa dar lindi na dodoma wananyetuka na kondomCha kushangaza inaongoza Njombe kwa maambukizi
Wa Dar wajanja wajanja....lkn wewe unaonaje kula pipi kwenye ganda lake?Itakuwa hao wa dar lindi na dodoma wananyetuka na kondom
Mie bora ninyetuke na mlenda vuguvugu kuliko kulomba na condomWa Dar wajanja wajanja....lkn wewe unaonaje kula pipi kwenye ganda lake?
Anae mmoja ambaye ni mimi.Fatilia huyo mmoja wako anao wamgapi?
Kwa hiyo siku hizi sio sabuni tena ni mlenda?Mie bora ninyetuke na mlenda vuguvugu kuliko kulomba na condom
Sasa mkuu mabwepande Nako ni dar?😂Mbona mimi nipo Dar na niko na mmoja tu😅
Afu sjawai kuelewa Kwanini Njombe Huwa inaongoza Kwa maambukiziCha kushangaza inaongoza Njombe kwa maambukizi
Nimehamia Msumi mkuu, au huku nako sio Dar?😅Sasa mkuu mabwepande Nako ni dar?😂