Utafiti: Mikoa inayoongoza kwa watu kuwa na mahusiano (ya kimapenzi) na watu wengi

Wenye mila na desturi- "Chungu huivishwa na Mafiga Matatu"- ni Dar.
 
Afu sjawai kuelewa Kwanini Njombe Huwa inaongoza Kwa maambukizi
Sababu ni zifutazo...
Njombe kuna wafanyabiashara wageni kila uchao,wanafuata viazi mbao na siku za usoni maparachichi,ukifika lile baridi lazima wanatafuta wanawake na wadada wa Njombe ni wasiri hivyo unakuta watu wanaliwa chinichini wanafichana so wanazungukana weeee wanapakazana weee hiyo bi moja ya sababu
 
Hii theory yako ni uwongo. Mbona ulaya baridi kali lakini kule no hiv kwa wingi
 
Umenifanya niichukie hiyo mboga ghafla
Sasa kwanza toka lini mlenda ikawa mboga wewe🤣🤣🤣
Iyo tunakula kwa sababu ya umaskini bwana.
Mboga ni kuku nyama samaki swala bata mzinga mbuzi kondoo
 
Ila kweli bwana!nakemea roho ya kula mlenda!
 
Sababu ni zifutazo...
Njombe kuna wafanyabiashara wageni kila uchao,wanafuata viazi mbao na siku za usoni maparachichi,ukifika lile baridi lazima wanatafuta wanawake na wadada wa Njombe ni wasiri hivyo unakuta watu wanaliwa chinichini wanafichana so wanazungukana weeee wanapakazana weee hiyo bi moja ya sababu
Sababu kuntu, ila nyongeza tu hapo...waafrika tunapenda ngono, that's including me pamoja na kuzeeka😅😅

Rafiki wamekuficha nahisi utajifungua mapacha this time!!
 
🤣🤣🤣🤣mvua hizi zina mambo...si unajua na mimi ni Mwafrica kama wewe
 
Back
Top Bottom