Mbususu nimepewa bure why kuibania bania eti mwaka mzima aargh ๐
Kalumbu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbususu nimepewa bure why kuibania bania eti mwaka mzima aargh [emoji23]
Kalumbu, ulinkafu๐๐Kalumbu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nataka nijipe mwezi.ila wife anaweza kusema napiga mechi za ugenini.
Nanii??Kama utafiti umeufamya kwa kina Ben Kinyaiya na wenzake wengi labda ila ungemuweka yule nanihii kwenye tafiti yako wala uzi huu usingekuwepo [emoji39][emoji39]
Ndinkafu nkamu, umenifurahisha sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kalumbu, ulinkafu[emoji23][emoji23]
Yaani wewe ndo maana unawapagawisha watu humu hicho kijasho chembamba kinakutoka wewe au mwenzio??Dah[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mazoezi maana hadi kijasho chembamba huwa kinatiririka[emoji119]
Behaviourist ๐๐Nanii??
Kalumbu maisha yenyewe mafupi haya! Acha tuenjoy ๐Ndinkafu nkamu, umenifurahisha sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
๐Wote tu mkuu, unafanya masikhara na kujipindua pindua mastyles mara popo kanyea mbingu, mbuzi kafanyaje sijui, kijasho hichoo๐Yaani wewe ndo maana unawapagawisha watu humu hicho kijasho chembamba kinakutoka wewe au mwenzio??
Wow kumbe inawezekana eeh! Hongera kwa msimamo huo mkuu. Ila inamaana haupo kwenye mahusiano? What if mwenzi wako akahitaji na unasema hadi uoe?Mwaka na miezi 6 hapa
Sipigi punyeto
Sina stress
Akili imechangamka vibaya mno
Sex is drug
Sifanyi mpaka nioe.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nimetoka kwenye mahusiano miezi miwili nyuma,kwa sababu zingine tuWow kumbe inawezekana eeh! Hongera kwa msimamo huo mkuu. Ila inamaana haupo kwenye mahusiano? What if mwenzi wako akahitaji na unasema hadi uoe?
Aisee safi sana, ni miongoni mwa wanaume pekee wenye msimamo huo maana wengine mmh, utakua mwaminifu hata ukiingia kwenye ndoa wewe๐Nimetoka kwenye mahusiano miezi miwili nyuma,kwa sababu zingine tu
Ila kuhusu mpenzi kuhitaji,me nakua muwazi tu kuwa sitafanya mpaka tuoane,and kwakua tangu nimechukua hu uamuzi nimewahi date na mwanamke mmoja tu,imekua rahisi kwani alikua muelewa.
Ila ningekua mtu wa kudate na wanawake ningeshachakata,kinachonisadia huwa sikai mazingira hatarishi na mwanamke yeyote.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo yesu alikua mpiga nyeto?Atakuwa mpiga nyeto au ana upungufu wa nguvu za GEGEDO.
Ndio plan yangu hiyo kwakweli,naimani itakua hivyo,kama nimeweza now,siwezi shindwa ndoani.Aisee safi sana, ni miongoni mwa wanaume pekee wenye msimamo huo maana wengine mmh, utakua mwaminifu hata ukiingia kwenye ndoa wewe[emoji106]