Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

Nani alikufadhili? Lengo la utafiti' wako ni nini? Hao uliowahoji wana akili timamu? Wewe mwenyewe una akili timamu?

Kaka mimi ni mkulima wa Nazi kutoka Mtwara. Nilivuna nazi zangu na kisha kupata pesa. Nilijifadhili mimi mwenyewe
 
Weka

Weka polls hapa kwenye post hata mimi naweza graphics design na kutengenez a mapicha picha ambayo hayana fact yoyote weka polls mpya hapa tupige kura
Poll siyo utafiti wa kisayansi. Mimi nimeleta Sayansi ya Jamii kaka
 
naamini SHETANI ni mwafrika.
Amekuja hapa anatwambia oh ametumia sayansi tumemuuliza ametumia formula ya SIR nani au amegundua formula mpya ameshidwa kujibu tulitaka tumpeleke Space X apewe PHD

Alafu mwisho wa siku ananitumia polls ambayo haina fact yoyote ni ya kutengeneza TU

SASA MWAMBIE AWEKE POLLS YA WAZI HAPA SISI TUPIGE KURA
 
Amani,Umoja na Utulivu vilikuwepo kabla nchi haijapata uhuru havikuletwa na TANU/CCM.
Kwa bahati mbaya leo hii wao ndiyo wanafanya jitihada kubwa ya kuviondoa kwa dhuluma wanazozifanya dhidi ya wananchi!
 
Amani,Umoja na Utulivu vilikuwepo kabla nchi haijapata uhuru havikuletwa na TANU/CCM.
Kwa bahati mbaya leo hii wao ndiyo wanafanya jitihada kubwa ya kuviondoa kwa dhuluma wanazozifanya dhidi ya wananchi!
Unaweza kutupatia ushahidi?
 
polls za wazi hapa si atapata ugonjwa wa nyani, malengelenge.
 
Watu wote wenye akili za mapokeo wanaipenda ccm
 
Unaweza kuwa sawa 'ki-utafiti'........lakini pia ni wazi kuwa Watanzania wa kawaida na walio wengi hasa vijijini hawawezi kutofautisha chama tawala na serikali/dola. Kwa hiyo kuwaaminisha waondokane na 'zimwi likujualo' ni sheeda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…