Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

Aibu jamani. Mjue na watu wa mataifa mengine- Kenya , Uganda, Mozambique, Malawi, Zambia, DRC, Rwanda etc wapitia hizi mada.
 
Inamaa mmi sina akili timamu asante. Nitaendelea kumuomba Mungu anisaidie, kuto kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
 
uo ndo ukweli najua watakuja na matusi lakini msumari wa moto umewaingia
 
Utafiti wa kisayansi hupingwa kwa utafiti wa kisayansi na siyo maneno tupu
 
Lete data acha maelezo
 
Ada ya mwaka kwa mwanachama mpya wa CCM ni pesa ngapi??
 
kujua kutengeneza graph kwenye excel ndio unataka kusambaza uongo na umbea mkuu?
 
Nguruwe amenyea ubongo wako
 
Dah!! Huu utafiti umehusisha wataalam kutoka ulaya na marekani siyo pekee yangu.
Sawa mkuu chama cha CCM ni chama kizuri ila nakushauri usimamie maslahi ya chama bali ya taifa ili tusijigawe sisi ni kitu kimoja na hii ni nchi yetu sote na kwamba tuchukulie vyama vya siasa ni kama sehemu ndogo tu kwenye taifa.
 
Nchi hii haina wazee wengi hivyo, maana ccm sio chama cha vijana bali wazee, na kinatumia nguvu za dola kushurutisha kionekane kinakubalika. Chama kinachokubalika hakiwezi kuogopa tume huru ya uchaguzi na katiba bora ya wananchi.

Ukiona chama kinasema kinakubalika, halafu kinategemea wahesabu kura, kura za maporini na hujuma za kupita bila kupingwa, ujue chama hicho kimejaa wajinga ndio maana kinaamini kinakubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…