Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
Utafiti haupingwi kwa hisia. Utafiti unapingwa kwa utafiti.Nchi hii haina wazee wengi hivyo, maana ccm sio chama cha vijana bali wazee, na kinatumia nguvu za dola kushurutisha kionekane kinakubalika. Chama kinachokubalika hakiwezi kuogopa tume huru ya uchaguzi na katiba bora ya wananchi.
Ukiona chama kinasema kinakubalika, halafu kinategemea wahesabu kura, kura za maporini na hujuma za kupita bila kupingwa, ujue chama hicho kimejaa wajinga ndio maana kinaamini kinakubalika.
Mdugu, haya yanauhusiano wowote na utafiti wangu?Sawa mkuu chama cha CCM ni chama kizuri ila nakushauri usimamie maslahi ya chama bali ya taifa ili tusijigawe sisi ni kitu kimoja na hii ni nchi yetu sote na kwamba tuchukulie vyama vya siasa ni kama sehemu ndogo tu kwenye taifa.
Sawa mkuu haina shida, kwenye utafiti ujao unishirikisheMdugu, haya yanauhusiano wowote na utafiti wangu?
Mwenye akili timamu yupoje?Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati. Hawa ndo wenye akili timamu uvccm? Akili timamu umeipimaje? Kwa mizani (uzito), kibakuli, ndoo (volume) au written tests? Unapingana na hii
Ndugu akija mtu mtu asiye na akili timamu huwezi kumjua?Mwenye akili timamu yupoje?
Nitajie sifa 10 tu za mtu mwenye akili timamu pengine ntaanza kuwatambuaNdugu akija mtu mtu asiye na akili timamu huwezi kumjua?
Propaganda za kizee haziwezi kuwa tafiti.Utafiti haupingwi kwa hisia. Utafiti unapingwa kwa utafiti.
Kaka mbona unajishitukia?Nitajie sifa 10 tu za mtu mwenye akili timamu pengine ntaanza kuwatambua
Duh!! Umefikia hapa ndugu? Kwani mimi na wewe tupo na ugomvi?Propaganda za kizee haziwezi kuwa tafiti.
Mimi sina ujuz wa akili ndio maana nauliza mtu mwenye akili timamu yupoje?Kaka mbona unajishitukia?
Ngoja basi niandae maelezo marefu, maana nimekuona upo tayari kujifunzaMimi sina ujuz wa akili ndio maana nauliza mtu mwenye akili timamu yupoje?
SawaNgoja basi niandae maelezo marefu, maana nimekuona upo tayari kujifunza
Mwenye akili timamu yupoje?
Bingwa wa kinyume nyumeCCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.
Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-
- CCM
- CUF
- CHADEMA
- ACT Wazalendo
Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.
Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638
Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.
20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.
Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.
Karibuni
Duh ! Hiyo circle nyekundu iliyochorwa kwenye gazeti kwamba TZ watu ni wajinga kuliko Afrika yote imenisikitisha sana ππ±πWatu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati. Hawa ndo wenye akili timamu uvccm? Akili timamu umeipimaje? Kwa mizani (uzito), kibakuli, ndoo (volume) au written tests? Unapingana na hii
Ndugu akija mtu mtu asiye na akili timamu huwezi kumjua?
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.
Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-
- CCM
- CUF
- CHADEMA
- ACT Wazalendo
Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.
Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638
Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.
20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.
Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.
Karibuni
Wanaipenda CCM kwa sababu ya uzembe na loopholes wanazotengeneza ili wachche wafanikiweCCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.