Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

Ndio ujue vita iliyoko kwenye ndoa kati ya mume na Mke na nani mwanzilishi wa vita. Lengo la wanawake ni kuwatawala Wanaume na kuchukua mali za wanaume, ili kufanikisha hilo lazima waanzishe ugomvi na ndugu za mume ili mume ajitenge na Ndugu zake na awe upande wa mke wake, akishafanikiwa hilo kwa watoto ni rahisi. Sasa kwa sababu Mwanaume kiasli ni Kiongozo/Mtawala akikataa kutenganishwa na Ndugu zake au kutawaliwa basi ndoa hio lazima iwe na ugomvi, na mke anachukua hatua nyingine ya kumtenganisha Baba na Watoto na hapo utakuta Baba atahangaika kupata pesa na kutunza mke,mimba,watoto,shule na kazi, Ila Baba akizeeka anaachwa anakufa bila hata ya uangalizi mama anakula na kutunzwa na watoto, watoto wanaambiwa baba yenu alikua anaharibu pesa na malaya au pombe. WANAUME tunzeni pesa zenu, zaa Watoto wachache, ili uwekeze pesa yako ukiwa na nguvu, ukifika uzeeni ujihudumie. Ukikumbatiwa mpaka akili huo ni ujinga wako. Watoto kuweni na Akili waangalieni Baba zenu msidanganyike Baba zenu walijitoa muhanga kuwahudumia, wahudumieni Wazazi wenu wote kwa usawa bila ubaguzi.
 
Mkuu, umeandika kwa hekima na hisia nyingi sana. I can feel it.
 
Pamoja kaka, haupo peke yako.
 
Kwakweli sijawahi waelewa wale jamaa woooooote!!!!
Ila huku kwa mama
Kwanza kuna anko mmjo hivi anatema madini ya ushauli hadi raha
Wanaushilikiano kinoma yaani
Sasa kwa mshua wenyokwa wenyewe hawaelewani sembuse mimi
 
Kwakweli sijawahi waelewa wale jamaa woooooote!!!!
Ila huku kwa mama
Kwanza kuna anko mmjo hivi anatema madini ya ushauli hadi raha
Wanaushilikiano kinoma yaani
Sasa kwa mshua wenyokwa wenyewe hawaelewani sembuse mimi
Upande wa baba tatizo ni wake zao
 
Upande wa mama una nguvu sana,
Una nguvu sana kwenye mikoa ya pwani/mwambao ambako kuna wanaume wengi si riziki wa chipsi mayai huku kwetu bara upande wa baba ndiyo una nguvu. Hukuti mwanamke kadanga hukooo kahongwa 'afu aje kutawala ukoo na kuvutia watoto upande wa ndugu zake.
 
Ni kweli upo sahihi hususani wamama ambao hawana maadili na ni wahuni wahuni, anawachukia watoto wa wifi na shemeji zake ila watoto wa dada zake anawapenda na akiwa na mume ana wake wawili atawaaminisha half brothers wa wanawe siyo ndugu ila cousins wao watoto wa dada zake ndiyo ndugu wkt hata sayansi ya DNA inamsuta. Yaani inshort ni wale wanawake walioolewa kufuata pesa au kutoa nuksi tu kama makahaba wanavyofuata pesa wkt ndoa ni kuunga undugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…