Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Mtoto wa mjomba sio sawa na mtoto wa mamdogo/mkubwa.Kwani huko kwa wajomba zako watoto wao hawawezi kuwa sio wao?
Mtoto wa mjomba sawa na wa kaka/bamdogo.
Inaweza kuwa mbuzi kwenye gunia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa mjomba sio sawa na mtoto wa mamdogo/mkubwa.Kwani huko kwa wajomba zako watoto wao hawawezi kuwa sio wao?
Hakuna mwanaume anayebambikiziwa mtoto. Watoto wote wanaozaliwa na mwanamke uliyemlipia mahari hao ni watoto wako.Wanaume kubambikiwa mtoto ni a million times common kuliko mama kubadilishiwa mtoto wake.!!
Watoto wote wanaozaliwa na mwanamke uliyemlipia mahari hao ni watoto wako.Mtoto wa mjomba sawa na wa kaka/bamdogo.
Inaweza kuwa mbuzi kwenye gunia tu
Alichokiandika umekielewa lakini?Kichwa kigumu bro. mtoto wa dada yako ni mpwa wako, hawezi tokea mtoto wa kumzaa wa dada yako asiwe wake.
Kama ni hivyo, kwa baba kuna mashangazi, ambao pia watoto wao ni damu ya babu yako..Mtoto wa mjomba sio sawa na mtoto wa mamdogo/mkubwa.
Mtoto wa mjomba sawa na wa kaka/bamdogo.
Inaweza kuwa mbuzi kwenye gunia tu
Hii imeleta bifu kubwa kat yang na hao maboshoo had tunashtakiana, wonderful but stupid.Sijawahi kukutana na situation kama hii mkuu
Kama mwanamke ulimlipia mahari, basi watoto wote atakaowazaa hao ni wako mzee baba.Upande wa mama lazima upendwe kwasababu upande wa mama huwa una uhakika wa damu yao mtoto ni wao sababu binti yao ndie amemleta mtoto.
Ila upande wa kiume huwa ni ngumu kuwakubali watoto sababu kuna kesi za kubambikiwa ujauzito na hiyo inaleta utata......
Huwa inawachukua muda sana familia ya mwanaume kukubali kijana wao ndie baba halisi wa mtoto aliyezaliwa.
Mimi mwenyewe watoto wa dada yangu na mdogo wangu nipo nao karibu zaidi kuliko watoto wa kaka zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawachukuaje, kwa mfano..Ni kweli ni wako ila ni wakufikia.siku moja babayao atawachukua
Kama umeoa msichana, kazi kwako.Si kweli....msichana akitoa siri mtoto si wako..
DNA ndio ultimate,wewe na ndoa yako na matakataka yako mkafie huo..
Sperm donor kihaki ni mwanae,na ikigundulika wewe na mkeo mme-conspire kwa pamoja kwa makusudi kuficha siri wote mnanyea debe right away.
Mbegu ya mtu una supersede upumbavu wenu wa ndoa na wewe na makelele yako...
Mtoto ana haki ya kumjua alietoa mbegu aliyotoka,mkimzengua yeye kama yeye atawashitaki wote wawili na jela mtaenda
Yaani mpo kwenye business ya ku-steal other people's kids...otherwise umu-adopt legally na sio kibwege bwege,mpaka baba mwenye mtoto asaini,sio eti mnajichukulia sheria mkononi kumu-adopt kwa ubongo zenu mbovu..lazima mtombaji asaini pia kua ana surrender parental rights kwako na sio upumbavu unaojiongelesha hapa.....
Aliyelipa mahari ya mwanamke ndio baba wa mtoto/watoto wote. U-baba ni malezi mkuu na sio kumpa mwanamke mimba pekee. Unajuaje kama huyo unayemuita baba tangia udogoni ndio baba yako mzazi?...Mkuu oa hata mwanamke wa mbinguni wote ni wanawake tu na wanatombwa
Wewe unajitia ndio unajua kuoa mwanamke sana,as if wewe ndio the best man on this earth?Unajidanganya wewe
Kabla hujamchukua alikua anatombwa na bado umemuoa atatatombwa,tena better than you...
Mwanamke akitombwa mimba ikaingia sio yako wewe mwehu,ni ya mwanaume aliezalisha
Mbona hili swali umelikwepa kujibu.Hivi mkuu wewe ni mzima kweli?
Mbegu ya mtu unasema yako?
Nani alikwambia baba ni malezi?
Na process ya DNA verification ya mitambo yama bilioni ya hela imefungwa Tanzania kufanya mavi?
Hivi ni kwanini mahakamani DNA test is the one needed?
Punguza dillusions wewe,huwezi chukua biological right ya mtu sababu tu eti anakaa kwako na unanunua ugali...ni natural right ya mtu wewe haiondolewi kwa kununua ugali wewe
Nunua sana ugali mwisho wa siku hakimu anataka DNA test,mtoto sio wako nenda kafie huko na maugali yako...
Kua serious wewe
We Ni mjinga Kama mke wa Ayubu.Mkuu oa hata mwanamke wa mbinguni wote ni wanawake tu na wanatombwa
Wewe unajitia ndio unajua kuoa mwanamke sana,as if wewe ndio the best man on this earth?Unajidanganya wewe
Kabla hujamchukua alikua anatombwa na bado umemuoa atatatombwa,tena better than you...
Mwanamke akitombwa mimba ikaingia sio yako wewe mwehu,ni ya mwanaume aliezalisha
Mtoto si wako,ni wake..penda usipende...
Ukijifanya unashupaiza shingo unapelekwa mahakamani na DNA inapimwa mtoto wa wake,nothing you can do!
Na eti ukizalisha mke wa mtu ni kosa,kila mtu anajua hilo,huwezi dhibitisha hilo..kidhibitisho pekee ni mimba na mtoto kutoka na DNA kupimwa na kuverify kuna mtu kazalisha...
Guess what adhabu yake,ni faini ya kipumbavu sana kama laki 5...
Halafu unajifanya wewe na huyo mwanamke wako....sad to break news to you,anatombwa!
Huna lolote wewe
GoodWe Ni mjinga Kama mke wa Ayubu.
Wewe mwenyewe na Kila mtu hapa amekiri kwamba hakuna uhakika kwamba watoto ni halali kwa baba zao, Kama jinsi ilivyo kwamba wewe si halali kwa baba
Yako.
Pamoja na ukweli wote huo ambao hata wewe unaukubali, Bado watoto Hawa wanaendelea kulelewa na hao mababa wasioaminika kuwa wao mpaka wanatenganishwa na kifo.
Baba zao wa DNA wapo wapi?
Kwanini wasiende kuwachukua?
Kwanini baba yako halali haji kukuchukuwa?
Umeshasikia mara ngapi mtu kaenda kudai mtoto kwenye ndoa ya watu?
Niseme tu kwamba , ubaba Ni zaidi ya DNA, au kumlipia mahali mama.
Ubaba Ni responsibilities.
Responsibilities ndizo zinamfanya mtoto akutambue kuwa wewe Ni baba.
Katika Hali yoyote, Kama mtoto hajakutambua wewe kuwa Ni baba yake, huna lako hapo.
Utaitwa tu kuwa wewe Ni baba yake lakini moyoni mwake haumo, hakusikilizi , hakutii, hakuheshimu, hata ukiwa na shida au ukizeeka , Hana muda na wewe.
Endelea kulilia DNA , wenzako tunawajibika kwa watoto hata wa ku adapt, na wanakuwa wetu.
Tuna wa menta wanakuwa vile tunavyotaka wawe.
Ni furaha ilioje, kuliko kuwa na litoto la kibaolojia ambalo Kila siku linakuhuzunisha na kukutia uchungu.
Daaah umefunguka sana mzee baba. Umemchana huyo mtoto mdogo asiyejua nini maana ya maisha.We Ni mjinga Kama mke wa Ayubu.
Wewe mwenyewe na Kila mtu hapa amekiri kwamba hakuna uhakika kwamba watoto ni halali kwa baba zao, Kama jinsi ilivyo kwamba wewe si halali kwa baba
Yako.
Pamoja na ukweli wote huo ambao hata wewe unaukubali, Bado watoto Hawa wanaendelea kulelewa na hao mababa wasioaminika kuwa wao mpaka wanatenganishwa na kifo.
Baba zao wa DNA wapo wapi?
Kwanini wasiende kuwachukua?
Kwanini baba yako halali haji kukuchukuwa?
Umeshasikia mara ngapi mtu kaenda kudai mtoto kwenye ndoa ya watu?
Niseme tu kwamba , ubaba Ni zaidi ya DNA, au kumlipia mahali mama.
Ubaba Ni responsibilities.
Responsibilities ndizo zinamfanya mtoto akutambue kuwa wewe Ni baba.
Katika Hali yoyote, Kama mtoto hajakutambua wewe kuwa Ni baba yake, huna lako hapo.
Utaitwa tu kuwa wewe Ni baba yake lakini moyoni mwake haumo, hakusikilizi , hakutii, hakuheshimu, hata ukiwa na shida au ukizeeka , Hana muda na wewe.
Endelea kulilia DNA , wenzako tunawajibika kwa watoto hata wa ku adapt, na wanakuwa wetu.
Tuna wa menta wanakuwa vile tunavyotaka wawe.
Ni furaha ilioje, kuliko kuwa na litoto la kibaolojia ambalo Kila siku linakuhuzunisha na kukutia uchungu.
Maisha ni pamoja na kujinyima ili uwasaidie wengineDaaah umefunguka sana mzee baba. Umemchana huyo mtoto mdogo asiyejua nini maana ya maisha.