Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

umeongea ukweli unaouma, wengi wataukimbia huu mchango wako.
 
ukweli mtupu.
 
Ukweli ni kwamba ni rahisi kuwa karibu na familia ambayo mwanamke ndio ndugu yako, kwasababu mara nyingi mwanamke ndio mfalme wa nyumbani, ndio anaangalia welfare za nyumbani zote. Hivyo in most cases ndugu upande wa baba utakaokuwa nao karibu ni watoto wa shangazi zako na sio baba wadogo/wakubwa. Upande wa mama ndugu utakaokuwa nao karibu ni upande wa mama zako wakubwa na wadogo, wajomba haiwezi kuwa Sana.
 
Kina mama wakiolewa wanapasua sana koo za watu.
 
Umeeleza vizuri sana, mahali popote pale utakapokwenda, jua mwenye nyumba ni mwanamke, huo ndio ukweli, ama unapenda au hupendi. Hivyo ni rahisi kujenga ukaribu mahali ambapo ndugu yako ni mwanamke (ndio mama mwenye nyumba)
 
Mara nyingi huwa hivi, ndugu wa kaka anayejiweza kwenye ukoo huwa hawapatani na mke wake na saingine unakuta ni mke anakuwa na mashauzi na kutaka kuonekana Special kwenye ukoo!

Kwamba yeye ndio kaolewa na mume mwenye hela kwenye ukoo mzima na hili hulipasisha mpaka kwa watoto wake kuwa wajione wakishua! Hapa lazma unakuta kuna kuwa na daraja
 
Tena daraja refu sana mkuu. Unakuta kwa baba mdogo/mkubwa wamejaa ndugu wa mkewe tu ila ndugu wa mume hakuna kabisa na mama mwenye nyumba hawataki waende.
 
Tena daraja refu sana mkuu. Unakuta kwa baba mdogo/mkubwa wamejaa ndugu wa mkewe tu ila ndugu wa mume hakuna kabisa na mama mwenye nyumba hawataki waende.
Anakuwa anawa discourage kwenda kutokana na tabia zake za ajabu! Watoto wa ndugu wa mume don’t feel at home kama wale wa mke!
 
Anakuwa anawa discourage kwenda kutokana na tabia zake za ajabu! Watoto wa ndugu wa mume don’t feel at home kama wale wa mke!
Alafu wengi wao baade hao hao watoto wa ndugu wa mume wakifanikiwa anaanza kuwaita "watoto wangu". Mimi nimeapa siji kumpa mtoto wangu jina la mke wa baba mdogo/mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…