Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

Kondakta au mpiga debe wa daladala awe na kipara,iswear ukimwona utalia
 
Sasa hwo uliowataja hapo wote mbona vipara vyao ni vya kunyoa,au wakati wanaanza kunyoa wewe ulikuwa hujazaliwa...
 
Kwanza ncheke tu hapo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…