MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.