Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hapo serikali moja ni sasa
Mkuu Mnyama, Mnyama wa DM , heshima ni kitu cha bure, uungwana na ustaarabu, tofauti zetu za mitazamo zisikufanye unitukane mjinga, mshenzi na mchawi!, jf tumepoteza members wengi wasio na ngozi ngumu, ambao wanashindwa kuvumilia kutukanwa hivi na wengine usikute ni vitoto au vijukuu!.Sisi kizazi cha leo hatutakubali ujinga wenu. washenzi kabisa ninyi wazee wachawi.
Umesema wako wengi zaidi ya wazanzibar sasa si watawamudu tu.HIVI NYIE JAMAA MUNAELEWA KUWA ZANZIBAR KUNA WATANGANYIKA WENGI ZAIDI YA MARA TATU YA WAZANZIBARI WALIOPO BARA?
sasa hiyo mipango ya kuwafanyia fujo wazenj, mumewaza au kufikiria na nini kitawakuta ndugu zenu kule Zanzibar kama na wao wakiamua ku react?
Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Na huo ndio mtego wenyewe ambao mtu mwenye akili timamu anatakiwa aone hatari yake.HIVI NYIE JAMAA MUNAELEWA KUWA ZANZIBAR KUNA WATANGANYIKA WENGI ZAIDI YA MARA TATU YA WAZANZIBARI WALIOPO BARA?
sasa hiyo mipango ya kuwafanyia fujo wazenj, mumewaza au kufikiria na nini kitawakuta ndugu zenu kule Zanzibar kama na wao wakiamua ku react?
Tatizo ni Wazanzibari walikataa kufuta utaifa waoHapo serikali moja ni sasa
Wewe unaona huu muungano uko sawa kabisa.baadhi ya watanganyika mnaturudisha nyuma kuikomboa Tanganyika inayonyonywa na zanzibar.Nchi kubwa kama uingereza iliamua kujiondoa kwenye umoja wa ulaya baada ya kuona watu wake wananyonywa lakini baadhi ya watanganyika mnajifanya hamuoni matatizo ya huu muungano wa kihuni.Hakuna maandamano yoyote 7/7 , huu muungano wetu adimu na adhimu, hauvunjikiki, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Sina guts, speak for yourselfKwani Imeanza leo ndugu, na kwanini mpka wa subiri tarehe flani? We are powerless, hatuna guts na hakuna chochote tutafanya
Serikali 2 inafahamika ndiyo iliyotufikisha hapa.Hapo serikali moja ni sasa
Duh,huu muungano wetu adimu na adhimu, hauvunjikiki, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Uongo huuHIVI NYIE JAMAA MUNAELEWA KUWA ZANZIBAR KUNA WATANGANYIKA WENGI ZAIDI YA MARA TATU YA WAZANZIBARI WALIOPO BARA?
Serikali 2 hazina tija yoyote, ndiyo zimetufikisha hapo. Suluhu ni Serikali 3 sawa na mapendekezo ya Rasimu ya Katiba ya Warioba, kama hamtaki bora kuvunjaSerikali iwe moja ama mbili za Ukweli Ukweli! Tatu hapana
Nimetoa Tahadhari ya kiusalama.hakuna jipya,,,, baada ya 2030 hutoona tena hizi kelele.. ni huu mrundikano wa waliovuka maji kwenye nyadhifa nzito za serikali ya Tanganyika ndo inawauma watu..
Nimetoa Tahadhari ya kiusalama.
Wanaoandamana na kupanga maandamano vijana waliozaliwa mwaka tuliopitisha vyama vingi na kuendelea. Ni kizazi kipya kabisa. Kinachanga moto mpya
Hivi JF mnavyoruhusu threads km hizi mnategemea nini? Futeni nyuzi za kipuuzi km hizi hazina maana yyte ni upumbavu wa mtu moja au watu wachache ambao wengi wako nje ya nchi waliojawa roho za kishetani wasiotaka kuona watu wakitulia kufanya mambo yao ya kimaendeleoNinafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Kelele zote hizi zitazimika mara akiingia Rais Mroman, baaasNinafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Angalia wanarejelea vurugu, ghasia, uhalifu wa tarehe 29 km vile ni mafanikio kwao, maana yake hawa ndio walioandaa, kuratibu, kufadhili na kutekeleza ule upuuzi. Vyombo vya ulinzi na usalama msilale tena tunataka tuwaone hawa watu, tuwajue wako ndani au nje ya nchi yetu.Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.