Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Inawezekana hiyo tarehe 7 kusiwepo na hayo maandamano, lakini hizo hamasa lazima zitaleta maandamano soon. Niliianza kuona hamasa za maandamano wakati wa operation ukuta na hayakutokea, lakini hiyo hamasa ilikaa akilini mwa watu. Yakaja ya hamasa ya Mange nayo haya kufanyika baada ya vyombo vya dola kujazana mitaani. Ikafika wakati wa uchaguzi wa 2020 watu wakakosa ujasiri kidogo lakini hayakutikea ila yalikuwa yatokee. Hamasa ile ikabaki akilini mwa watu.Kwani Imeanza leo ndugu, na kwanini mpka wa subiri tarehe flani? We are powerless, hatuna guts na hakuna chochote tutafanya
Hatimaye juzi 2025 yakatokea hadi leo hakujakaa sawa, na wananchi taratibu uoga unapungua, na wanaamini maandamano yataleta mabadiliko. Tunza hii post, mama Samia hamalizi miaka yake mitano bila maandamano makubwa, na hapo ndio utakuwa mwisho wa ccm iwapo hakutafanyika mabadiliko ya kweli.