MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
- Thread starter
- #81
Robo 3 ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari - Msukuma. Hii sio kauli ya bahati mbaya
Watoto wa siku hizi hawana adabu. Pole Mzee Mayalla. Hapa ndipo tulipofikia kama Taifa. Muonee tu huruma.Mkuu Mnyama, Mnyama wa DM , heshima ni kitu cha bure, uungwana na ustaarabu, tofauti zetu za mitazamo zisikufanye unitukane mjinga, mshenzi na mchawi!, jf tumepoteza members wengi wasio na ngozi ngumu, ambao wanashindwa kuvumilia kutukanwa hivi na wengine usikute ni vitoto au vijukuu!.
P
Msikilize Polepole alichosema hapa kutokana na utafiti..Kuna ubaya gani kuwa na serikali Moja nchi Moja?
Ndiyoumewahi kufika zanzibar?