Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Ukweli mchungu..!!Hatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Ukweli kama huu ukisemwa wazi kama hivi, labda utafanya angalao watu waamke.
Ukweli mchungu..!!Hatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Dont underestimate kizazi cha sasa, gov did that mistake now wana struggle kujisafishaHatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Haya mimi na wewe mwenye guts guts tunatofauti gani!Sina guts, speak for yourself
That's real, labda tukianza kuuadress ukweli watu wataamkaUkweli mchungu..!!
Ukweli kama huu ukisemwa wazi kama hivi, labda utafanya angalao watu waamke.
Waache wajichanganye waje kutia tena huruma mitandaoni.Hatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Hawa vijana wanapewa pesa na wazungu ili waiharibu Tanzania iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 65.HIVI NYIE JAMAA MUNAELEWA KUWA ZANZIBAR KUNA WATANGANYIKA WENGI ZAIDI YA MARA TATU YA WAZANZIBARI WALIOPO BARA?
sasa hiyo mipango ya kuwafanyia fujo wazenj, mumewaza au kufikiria na nini kitawakuta ndugu zenu kule Zanzibar kama na wao wakiamua ku react?
Ni Sawa na kuamka asubuhi na kutaka vita na mkorea, kakuzidi kila kituWaache wajichanganye waje kutia tena huruma mitandaoni.
Tatizo la wanaharakati wanadhani wanayo masuluhisho ya matatizo ya miaka mingi, wakija kupewa nafasi ya kuongoza nchi wanakuja kugundua kuwa harakati ni tofauti kabisa na uhalisia.Na huo ndio mtego wenyewe ambao mtu mwenye akili timamu anatakiwa aone hatari yake.
Watanganyika wakifanya fujo kwa Wazanzibari na Wazanzibari wakilipa kisasi, faida yote ya muungano inaisha maana.
Ujinga upo hapo, kwamba kuna dini zina haki sana ya kuiongoza Tanzania kuliko dini nyingine.Kelele zote hizi zitazimika mara akiingia Rais Mroman, baaas
Walio make mistake sio gvt ni hicho kizazi.Dont underestimate kizazi cha sasa, gov did that mistake now wana struggle kujisafisha
Aliyeko madarakani ana nafasi kubwa sana kama nchi ikiripuka, leo CCM wanasema Chadema ndio inachochea chuki wanasahau mijadala ndani ya bunge la Zanzibar na Mzanzibar aliyeita Nchimbi ni YudaTatizo la wanaharakati wanadhani wanayo masuluhisho ya matatizo ya miaka mingi, wakija kupewa nafasi ya kuongoza nchi wanakuja kugundua kuwa harakati ni tofauti kabisa na uhalisia.
Chuki huzaa chuki nyingine mkija kushtuka Taifa limebakia vipande vipande na wazungu kiulaini tu watabeba mali zetu bure bure tu.
Vijana hawawezi kutazama mbali wanadanganywa na nguvu za ujana wao.
Never , gov wakati wanaonywa walichukua hatua gani? NothingWalio make mistake sio gvt ni hicho kizazi.
With all that happened Mo29 do you expect gen z atatoa mguu nje aka andamane?Never , gov wakati wanaonywa walichukua hatua gani? Nothing
Wali berrate, calling bad names even kudharau
and then it happens, waka panick .
Reputation ya nchi imeharibika sababu ya kuchukulia poa mambo ya msingi.
Gez z huwez wamaliza wote, ndio kizazi kipya. And for the record gov ikindelea kukuaza fuvu, itakuja more that 29 oct
Sio vijana pekee yao. Ule uharamia wao kama wao wasingeweza kuupanga kiasi kile.Walio make mistake sio gvt ni hicho kizazi.
Tofauti Wabara wote walioko Zanzibar hawana mali wakiondolewa watarudi kama vibarua tu lakini wanzanzibar walioko Bara wana majengo, boti,mashamba,mahoteli,maduka,nk. na wengi wameajiriwa serikalini na taasisi za umma zisizo za muungano, hivyo wakiondolewa ni hasara kubwa kwao. That is the difference. muhimu tuboreshe Muungano kwa staili nyingine tuendelee kuishi.Umesema wako wengi zaidi ya wazanzibar sasa si watawamudu tu.
Fujo yoyote ile Zanzibar watapata hasara kubwa mno,hasa upande wa mali na ajiraHIVI NYIE JAMAA MUNAELEWA KUWA ZANZIBAR KUNA WATANGANYIKA WENGI ZAIDI YA MARA TATU YA WAZANZIBARI WALIOPO BARA?
sasa hiyo mipango ya kuwafanyia fujo wazenj, mumewaza au kufikiria na nini kitawakuta ndugu zenu kule Zanzibar kama na wao wakiamua ku react?
🚮Walio make mistake sio gvt ni hicho kizazi.
Kabla ya mwakani tunaitaka Tanganyika yetu.Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Huyo boya mwenzako Samuya yuko under big investigation ya EU na US na wamekatiwa pesa, visa ban etc na moto zaidi unakuja, ni kwa sababu ya hao unaowaita mbwa koko, endelea kuhara ujaze choo usitusumbueHaya mimi na wewe mwenye guts guts tunatofauti gani!
Hivyo ni kuwa kama Mbwa koko, unabweka bila impact ya aina yoyote