MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Si ata Mo29 ulisema hivyo hivyoHatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Yaonesha wewe u-mgeni kwa wanadamu ambao wamechoka,wanaona wanadharauliwa na kutopewa thamani yoyote.Hatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
Maandamano ya October yalikuwa yanahusu uchaguzi, maandamano yote baada ya hapo yana Ajenda ya Tanganyika, this should worry you the most kama Una chembe ya akiliHatuna guts za kufanya chochote by now. Mbwembwe tu hizo
nonsense 🐒Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Mo29 Wali test zari na wakajua huu moto si wakujaribuSi ata Mo29 ulisema hivyo hivyo
Kwani Imeanza leo ndugu, na kwanini mpka wa subiri tarehe flani? We are powerless, hatuna guts na hakuna chochote tutafanyaYaonesha wewe u-mgeni kwa wanadamu ambao wamechoka,wanaona wanadharauliwa na kutopewa thamani yoyote.
Mkuu watanganyika wenyewe wana worry wapate tonnge la mchana aje ku worry maneno ya mzanzibari?Maandamano ya October yalikuwa yanahusu uchaguzi, maandamano yote baada ya hapo yana Ajenda ya Tanganyika, this should worry you the most kama Una chembe ya akili
Ukimtishia askari kokoto yeye anatakiwa akupe onyo la kukitwanga risasi za kichwani au tumboni.Kiwake tu. Huu ushenzi unaoendelea na hawa wanaojiita viongozi hauvumiliki.
Kinachoumiza zaidi wanatuharibia nchi yetu ya kwao iko safe. Wanachuma kwetu wakajenge kwao.
Watanganyika waliojiweka huko juu wameufyata hadi wameuchomeka mikunduni mwao.
#HATUTAVUMILIA TENA#.
Hakuna maandamano yoyote 7/7 , huu muungano wetu adimu na adhimu, hauvunjikiki, tutaulinda kwa gharama yoyote!.Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Siamini kama maandamano yapo, ila nina mashaka kuhusu sentiments za wazungumzaji na uwezo na dhamira yao kuandaa.Hakuna maandamano yoyote 7/7 , huu muungano wetu adimu na adhimu, hauvunjikiki, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Nyie wazee nyie, mmekubali kabsa vizazi vyenu viwe hohehahe kwa kuneemesha wazanzibari.Hakuna maandamano yoyote 7/7 , huu muungano wetu adimu na adhimu, hauvunjikiki, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Siku muungano huu ukifa nitachinja ngamia kusherehekea.Naipenda nchi yangu Jamhuri ya TanganyikaNinafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto basi mali za Wazanzibari zitaguswa.
Je unajua Tarehe 7/7, ni siku ya kuzaliwa kwa TANU, The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty state of Tanganyika.
Matukio ya October 29 na kuendelea yalionesha kuwa Muungano ndio udhaifu namba moja wa Tanzania.
Kama CCM wanakuwaga na ajenda za dharura na hawajaona hatari ya fujo za kijamii kwa Msingi wa Zanzibar na Tanganyika basi Chama chao kimekufa.
View attachment 3606884
View attachment 3606886
Tuko kwenye hii stage "politicization of ethnicity" kama Nchi hii ina wazee basi wasisubiri taarifa za "wanaojiita watu wa vyombo vya ulinzi na usalama", badala yake waingie kwenye Tiktok, club House, space, Jamii forum na sehemu tofauti wawasikilize hawa vijana wanachosema kuhusu muungano, vijana walioandaa maandamano na kutekeleza maandamano October 29 kwa kutumia mitandao pekee, hadi sasa wana nafasi kubwa sana kuvunja muungano.
Ungejuwa kama tanganyika inainyonya Zanzibar unge futa reply yako Wazanzibari ndio wa mwanzo kupinga muungano nyie mlikuwa mmelala na kudai Wazanzibari wabaguziNyie wazee nyie, mmekubali kabsa vizazi vyenu viwe hohehahe kwa kuneemesha wazanzibari.
Mnazidi kabisa kutuaminisha umaskini tulionao leo nchini chanzo ni akili zenu matope.
Sisi kizazi cha leo hatutakubali ujinga wenu. washenzi kabisa ninyi wazee wachawi.
Ni wahafidhina wachache wenye akili mgando ndiyo wanautaka muungano huu wa mchongo, Watanganyika tulio wengi hatuutaki kabisa tunaombea ufe leo kesho.Ungejuwa kama tanganyika inainyonya Zanzibar unge futa reply yako Wazanzibari ndio wa mwanzo kupinga muungano nyie mlikuwa mmelala na kudai Wazanzibari wabaguzi