Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

Hawa vijana wanapewa pesa na wazungu ili waiharibu Tanzania iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 65.

Watashughulikiwa kiasi ambacho wanaowatuma watabakia midomo wazi.

Yale yale yaliyoinyima DRC maendeleo yanaendelezwa chini kwa chini lakini kwa hapa TZ wataumia.
 
Na huo ndio mtego wenyewe ambao mtu mwenye akili timamu anatakiwa aone hatari yake.

Watanganyika wakifanya fujo kwa Wazanzibari na Wazanzibari wakilipa kisasi, faida yote ya muungano inaisha maana.
Tatizo la wanaharakati wanadhani wanayo masuluhisho ya matatizo ya miaka mingi, wakija kupewa nafasi ya kuongoza nchi wanakuja kugundua kuwa harakati ni tofauti kabisa na uhalisia.

Chuki huzaa chuki nyingine mkija kushtuka Taifa limebakia vipande vipande na wazungu kiulaini tu watabeba mali zetu bure bure tu.

Vijana hawawezi kutazama mbali wanadanganywa na nguvu za ujana wao.
 
Kelele zote hizi zitazimika mara akiingia Rais Mroman, baaas
Ujinga upo hapo, kwamba kuna dini zina haki sana ya kuiongoza Tanzania kuliko dini nyingine.

Mimi mkatoliki lakini sipendi namna baadhi ya wakatoliki wanavyoitazama kwa dharau na chuki serikali ya Samia.

Madai mengi yenye kuihusu serikali ni mwendelezo ule ule wa roho mbaya, uchochezi unajaa kwenye hoja zinazojengwa bila ya kuijua hasara yake siku nchi hii ikiungua moto yote.
 
Aliyeko madarakani ana nafasi kubwa sana kama nchi ikiripuka, leo CCM wanasema Chadema ndio inachochea chuki wanasahau mijadala ndani ya bunge la Zanzibar na Mzanzibar aliyeita Nchimbi ni Yuda
 
Walio make mistake sio gvt ni hicho kizazi.
Never , gov wakati wanaonywa walichukua hatua gani? Nothing
Wali berrate, calling bad names even kudharau
and then it happens, waka panick .

Reputation ya nchi imeharibika sababu ya kuchukulia poa mambo ya msingi.

Gez z huwez wamaliza wote, ndio kizazi kipya. And for the record gov ikindelea kukuaza fuvu, itakuja more that 29 oct
 
With all that happened Mo29 do you expect gen z atatoa mguu nje aka andamane?

Wanajesho wenyewe tu have no power to nothing, wa kina Tesha wako wapi?

Ile iliyopita ingekuwa effective angalau hata isababishe demage kwa wanao control, then tungeongea uwezekano shikilia uwezekano..

Now there's no hope, hata wa kina mange wamesha lose, they know their work is futile. Hakuna wa kumsikiliza tena.

Ni mpka Hao Hao walio juu, wavurugane yaani kiwake kuanzia juu.
 
Umesema wako wengi zaidi ya wazanzibar sasa si watawamudu tu.
Tofauti Wabara wote walioko Zanzibar hawana mali wakiondolewa watarudi kama vibarua tu lakini wanzanzibar walioko Bara wana majengo, boti,mashamba,mahoteli,maduka,nk. na wengi wameajiriwa serikalini na taasisi za umma zisizo za muungano, hivyo wakiondolewa ni hasara kubwa kwao. That is the difference. muhimu tuboreshe Muungano kwa staili nyingine tuendelee kuishi.
 
Fujo yoyote ile Zanzibar watapata hasara kubwa mno,hasa upande wa mali na ajira
 
Kabla ya mwakani tunaitaka Tanganyika yetu.
 
Haya mimi na wewe mwenye guts guts tunatofauti gani!
Hivyo ni kuwa kama Mbwa koko, unabweka bila impact ya aina yoyote
Huyo boya mwenzako Samuya yuko under big investigation ya EU na US na wamekatiwa pesa, visa ban etc na moto zaidi unakuja, ni kwa sababu ya hao unaowaita mbwa koko, endelea kuhara ujaze choo usitusumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…