Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

Robo 3 ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari - Msukuma. Hii sio kauli ya bahati mbaya
 


Mabango ya Maandamano yana neno "Tanganyika" soon nguvu ya kujitoa kwenye Muungano itakuwa kubwa kuliko serikali 3.

CCM wawe makini
 
Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.
 
Watoto wa siku hizi hawana adabu. Pole Mzee Mayalla. Hapa ndipo tulipofikia kama Taifa. Muonee tu huruma.
 
SSH atawabamiza vibaya mno wacha waingie kwenye 18.
 
Serikali tatu hazina manufaa. Kama hatuwezi kuwa na serikali moja na Zanzibar ikiwa moja ya mikoa ya serikali hiyo, ni vyema iitishwe kura ya maoni, wananchi wenyewe waamue kama wanataka kuendelea na muungano huu au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…