Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Wakuu kuna tuhuma kuwa jamaa ni clone, mtu wa kutengenezw maabara ndomana hata historia yake haieleweki, chimbuko lake etc.. je kuna ukweli wowote?
 
Hivi watu wanaelewa kwamba huu utajiri mostly ni utajiri wa makaratasi unaotegemea na stock prices?

Ukiambiwa Elon ana dola bilioni 180 si kweli kwamba anazo zote hizo liquid?

Wanaelewa kwamba stocks za tech companies karibu zote zineshuka sana mwaka huu?
Ndg Kiranga tunayaelewa hayo, pia unaposema utajir wao upo kwenye karatasi sio sahh, at least useme upo ktk virtue money na haimanishi kua hawez withdrawal, or mass sell his stocks to have cash on hand
 
Elon kwa kuherehere alishajicommit kununua Twitter. Baadaye akaghairi. Twitter ikabidi wafungue kesi. Elon ajawajibu bring it on.

Baadaye akaona atashindwa tu hii kesi na kulipa hata Zaid ya bei ya kununua Twitter 44 billion. Siku ya mwisho kabla ya kesi kuanza akaamua tu isiwe soo akainunua shingo upande kwa kulazimishwa
Naona Twitter inamshinda,ni bora aiuze tu hata kwa hasara kidogo afocus kwenye science zake, mambo ya social media awaachie kina Zuckerberg

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
 
Ndg Kiranga tunayaelewa hayo, pia unaposema utajir wao upo kwenye karatasi sio sahh, at least useme upo ktk virtue money na haimanishi kua hawez withdrawal, or mass sell his stocks to have cash on hand
Huelewi unachoandika.

Utajiri wa stocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.

Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.

Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?

Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.

Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.

Soma hapa.

Huelewi unachoandika.

Utajiri wa strocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.

Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.

Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?

Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.

Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.

Soma hapa.

Ndg Kiranga why saying sijui?
Why proving me wrong?
I am one among few who has deep deep and rich knowledge in the world of financial markets.

It's an open discussion, instead of criticizing us telling us that we don't know what we are writing , scrutinize first.

Also thanks for your wonderful contribution.
 
Hujajibu hoja.

Umeleta emotions.
 
Ndg Kiranga why saying sijui?
Why proving me wrong?
I am one among few who has deep deep and rich knowledge in the world of financial markets.

It's an open discussion, instead of criticizing us telling us that we don't know what we are writing , scrutinize first.

Also thanks for your wonderful contribution.
Umeamua kumtemea yai kabisa ili akae kwa kutulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lugha ya mizigo[emoji28][emoji28][emoji28] bila hivyo aelewi
counting-money-loop.gif
 
Before Elon it was only possible to launch a rocket but on his presence we can land a rocket isn't this great?,
This is one among many revolution of my lifetime i have live to see.
True! Hata Nasa walikua hawajui kama zinaweza kurudi salama kwa kutumia masabu ya kina newton laws[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] katokea jamaa huko anafuga aliens akaruka nao
 
Back
Top Bottom