DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Sababu ni CCM
Wajinga mmeichoka CCM kweli. Yaani hata vitu CCM haihusiki inabidi ibebeshwe mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni CCM
Ndg Kiranga tunayaelewa hayo, pia unaposema utajir wao upo kwenye karatasi sio sahh, at least useme upo ktk virtue money na haimanishi kua hawez withdrawal, or mass sell his stocks to have cash on handHivi watu wanaelewa kwamba huu utajiri mostly ni utajiri wa makaratasi unaotegemea na stock prices?
Ukiambiwa Elon ana dola bilioni 180 si kweli kwamba anazo zote hizo liquid?
Wanaelewa kwamba stocks za tech companies karibu zote zineshuka sana mwaka huu?
Congressman personally i think kua hizo ni conspiracies sidhani kama zna ukweliWakuu kuna tuhuma kuwa jamaa ni clone, mtu wa kutengenezw maabara ndomana hata historia yake haieleweki, chimbuko lake etc.. je kuna ukweli wowote?
PoleniMasikini huwa tunawaza short term, Elon anawaza miaka 10 ijayo
Mkuu mbona nilisema Watu wenye vision ndo tujadili kwa hi thread, asa kama unamaono hasi unafanya nn apa 🤣.Masikini wanamjadili tajiri! 😁
Dah🤣Mkianza kujadili utajiri wa Kibegi mniite
Naona Twitter inamshinda,ni bora aiuze tu hata kwa hasara kidogo afocus kwenye science zake, mambo ya social media awaachie kina ZuckerbergElon kwa kuherehere alishajicommit kununua Twitter. Baadaye akaghairi. Twitter ikabidi wafungue kesi. Elon ajawajibu bring it on.
Baadaye akaona atashindwa tu hii kesi na kulipa hata Zaid ya bei ya kununua Twitter 44 billion. Siku ya mwisho kabla ya kesi kuanza akaamua tu isiwe soo akainunua shingo upande kwa kulazimishwa
Moja ya uwekezaji wake mbovu ni twitter labda kama ameinunua kimkakati, ila hakua na sababu za msingi kuinunua twitterView attachment 2460192View attachment 2460191
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Huelewi unachoandika.Ndg Kiranga tunayaelewa hayo, pia unaposema utajir wao upo kwenye karatasi sio sahh, at least useme upo ktk virtue money na haimanishi kua hawez withdrawal, or mass sell his stocks to have cash on hand
Point
Ndg Kiranga why saying sijui?Huelewi unachoandika.
Utajiri wa strocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.
Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.
Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?
Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.
Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.
Soma hapa.
![]()
Tesla sinks to almost two-year low on Elon Musk stock sales, Twitter distraction
Shares of Tesla have been plummeting since Elon Musk said he would buy Twitter, and the retreat gained steam after Musk reported sales of Tesla stock.www.cnbc.com
Hujajibu hoja.Ndg Kiranga why saying sijui?
Why proving me wrong?
I am one among few who has deep deep and rich knowledge in the world of financial markets.
It's an open discussion, instead of criticizing us telling us that we don't know what we are writing , scrutinize first.
Also thanks for your wonderful contribution.
Before Elon it was only possible to launch a rocket but on his presence we can land a rocket isn't this great?,What did Elon Musk revolutionize in rocket science?
Umeamua kumtemea yai kabisa ili akae kwa kutulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lugha ya mizigo[emoji28][emoji28][emoji28] bila hivyo aelewiNdg Kiranga why saying sijui?
Why proving me wrong?
I am one among few who has deep deep and rich knowledge in the world of financial markets.
It's an open discussion, instead of criticizing us telling us that we don't know what we are writing , scrutinize first.
Also thanks for your wonderful contribution.
Hoja ipi mkuu kiranga, I'll be more than glad kuijibuHujajibu hoja.
Umeleta emotions.
True! Hata Nasa walikua hawajui kama zinaweza kurudi salama kwa kutumia masabu ya kina newton laws[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] katokea jamaa huko anafuga aliens akaruka naoBefore Elon it was only possible to launch a rocket but on his presence we can land a rocket isn't this great?,
This is one among many revolution of my lifetime i have live to see.