Wewe unayempinga ndio utuambie sisi,kwa jinsi unavyovijua anavyomiliki ndio sababu unapinga lakini kumbe wewe unapinga bila kuwa na ushahidi wa unachokipinga ????Kwa asie jua pesa ana dhani billion ni pesa ya masihara lkn swali linakuja je, mziki unalipa kiasi hicho? ana assets zipi japo za billion 2?
Alishawahi kulazwa TMJ vipi,ulichangishwa sh'ngapi ???Kuna siku tutamchangia akatibiwe india
Umetajataja mi-namba kibao lakini hoja ziro, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kuwa unadhani anamiliki bil 8 basi zipo cash benki/nyumbani na pia kwa jinsi unavyoonyesha uelewa wako ni kuwa hazifanyii kitu zipo tu anazichungulia hakuna alichowekeza si ndio ............. halafu hapo kwenye gari kutembelea miaka mitatu ndio ungejiuliza kwenye hiyo mi-namba yako ulizoziorodhesha kazifanyia nini kama gari anaitumia kwa miaka mitatu sasa ?????Kuna watu wanadhani billioni ni kitu rahisi sana kuwa nacho achana na hiyo billion 8 wanayodanganya nayo..
Show moja Diamond akiwa nje ya nchi analipwa Million 50.. Tufanye anafanya show nje ya nchi week zote 52 za mwaka, hiyo ni Billion 2.5 kwa mwaka, tufanye kafanya hizo show miaka miwili mfululizo inatupa Billion 5.. Anasema Vodacom walimpa Million 800, DSTV nao tufanye Million 100, Uber Million 100, Tomato Million 100, Caller tunes Billion 1.. Hapo Jumla tunapata Billion 7.1.. Na hapo hatujaweka matumizi yoyote.. Sasa hizo billion 8.6 katolea wapi.. Billion kuimiliki msifikiri mchezo.. Angekuwa anamiliki Billion 8 asingetembelea kile kigari kwa miaka mitatu sasa..
Na kweli inawezekana ikawa hata 1m hana bank/nyumbani,lakini yeye hakusema zipo bank/nyumbani ila kasema MALI ANAZOMILIKI NI ZENYE THAMANI YA $ 4M.Hata milioni 50 hana kwenye account yake, hiyo ni porojo kwa wajinga.
Inaonyesha unaozoefu mkubwa sana wa kutetea,na sehemu zote ulizotetea uliambulia kumegwa mkate na ndio maana sasa umejiapiza ni kuponda tu ukidhani na hapa utamegwa mkate wako kama ulivyokuwa unamegwa zamani.Naona unamtetea
Haya basi mpe na mkate kabisa aumege
Una matatizo makubwa mawili.. Ushamba na dhiki.Dimond ndo mdudu gani??
Yani kabisa unabinya pua kumsifia mtu
Wakenya wanawadharau kwasababu nyie wambea sana, halafu hampendi kazi mnapenda ngono na pombe
Endelea kumsifua ukiona haitoshi mpe na tigo
Aloo kweliTangu wameanza kuongeza sifuri, sitakaa nimuamini msanii yeyote
kijana aliyeleta hii habari akili hana hata moja msamehe bure tuBil 8.6 alafu unakaa porini kule madale, ukuta wenyewe umipitiwa na mtaro wa mto. Sisi tunaokaa mjini tunashingap?? Acheni utani pesa haijifichi bhana. Superstar mwenye pesa hawezi ishi kiswahil ivyo hata gari mpya tu hana sembuse nyumba mjini??
hivi wewe kima unajitambua kweli auHahahahahah kwa hiyo wewe wakenya umewaona ndio mfano wa watu wa maana kwako alafu unamdharau Diamond!! Kweli dunia haiishi maajabu.
Nimeshakwambia maisha umeyakosea mwenyewe usimlaumu mtu unajitesa bure kuchukia watu.
Umetajataja mi-namba kibao lakini hoja ziro, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kuwa unadhani anamiliki bil 8 basi zipo cash benki/nyumbani na pia kwa jinsi unavyoonyesha uelewa wako ni kuwa hazifanyii kitu zipo tu anazichungulia hakuna alichowekeza si ndio ............. halafu hapo kwenye gari kutembelea miaka mitatu ndio ungejiuliza kwenye hiyo mi-namba yako ulizoziorodhesha kazifanyia nini kama gari anaitumia kwa miaka mitatu sasa ?????
3 zote hizo mkuu mbona unaenda mbali sana hata ukiwatia wote kwenye kapu moja hata nusu ya hizo hawafikiiUmetumwa? Mi nina experience na interview za wasanii hasa wanapotakiwa kutaja gharama za video wanazoshoot South, networth n.k huwa wana mtindo wakufanya multiplication kwenye original figure ili ku-deceive public na kucreate attention tuwaone special sana,
kwa taarifa yako tu Diamond wala msanii yoyote wa Bongo hakuna anayefikisha walau 3bil. Damn
Onyesha pale huyo unayemtetea alipoandika "Pato la taifa limeongezekaje?"Halafu we bwana post zako ni za kitoto sana
Mwenzako ameuliza pato la taifa limeongezekaje hapo??
We unasema awaulize mengi na bakhresa
Ninyi ndo mnaofanya wakenya wazidi kuja kuwatawala hapo hapo kwenu
wivu utakuuaHuo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????