The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Kuna demu nilimuelewa sanaa tena sanaa ila nilivyokuja kugundua sio bikra nilimchana live kwamba sitomuoa kwakua sio bikra aliumia sana mpaka akalia kiufupi nilimuonea huruma ila sikuwa na namnaHakika mkuu inawa-pain ila wanavumilia halafu wanakuja kuwatetea malaya, inasikitisha sana
Naona mliolewa mkiwa sio bikra mnaandika kwa chuki sanaWalitakiwa wamuoe nani? Wewe?
You sound jilazi. 🤣
Ulifanya uamuzi mgumu lakini sahihi kabisaKuna demu nilimuelewa sanaa tena sanaa ila nilivyokuja kugundua sio bikra nilimchana live kwamba sitomuoa kwakua sio bikra aliumia sana mpaka akalia kiufupi nilimuonea huruma ila sikuwa na namna
Kauli mbiu ni moja tuUlifanya uamuzi mgumu lakini sahihi kabisa
Wanawake wama silaha 4 kuu wanazotumia kuwatawala wanaume mabwege
●Machozi
●Ngono
●Drama
●Maneno matamu
Ulikwepa mbili kati ya hizo, huo ndio uanaume
Hakuna kuoa kwa kumwonea huruma mwanamke malaya hata alie au akutunuku tunda
NAKAZIAKauli mbiu ni moja tu
"kama sio bikra just hit and run"
Baada ya kukahabika na kuwa bed to bed midfielder kwa miaka kadhaa kwa nini ujishushie heshima kwa kukubali kuwa her retirement plan? Hizi dharauSiwezi kuoa mwanamke amefunguliwa na mtu mwingine wakafanya yao akaliwa na wengine Weee mpaka viungo vikachoka alafu anakuja kupumzikia kwangu noo, lazima heshima ya bikra tuidhamini
Mkuu umemjibu kwa usahihi. Anachokifanya ni udhalilishajiKifupi..mamako dadazako na mashangazi zako ni MALAYA
Mkuu usishangae na yeye mwenyewe anakazwa na wazazi wake wanajua kuwa anakazwa.Malaya ni nani? Malaya ni mwanamke yoyote yule ambae anafanya mapenzi na mwanaume ambae hadi wazazi wake wanajua kwamba fulani ndio mwanaume anae Tembea na binti yetu..
Wakati mwingine mwanamke huyo hupewa hadi " cheti" ya kuhalalisha ukahaba wake ambacho kimebatizwa jina " Cheti cha ndoa"
Kitendo cha mwanamke kuwa anakazwa. Wazazi wake wanajua kwamba binti yao anakazwa. Wanamjua hadi anae mkaza. Na mwanamke huyo wala hao ni aibu tena kuhusu hilo yani anajua kabisa hadi baba ake anamjua mwanaume anae mkaza. Na anajua kwamba kila siku usiku anakazwa.
Mwanaume huyo anaenda hadi kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa binti huyo ili apewe ridhaa ya kuwa ana mkaza kila siku.
Hakuna umalaya na ukahaba mkubwa kama huo.
Swali kwako mtoa mada sasa.
Babu yako kizaa mama ako alikuwa anafahamu kuhusu uhusiano wa baba ako na mama ako?
Mkuu sorry, sio kwa ubaya wewe ni bikra?Mungu mwenyewe alimchagua bikira Mariamu abebe mimba ya Yesu
Aliwaheshimisha wanawake wanaotunza bikra zao
Learn or perish
BuhahahahaMkuu usishangae na yeye mwenyewe anakazwa na wazazi wake wanajua kuwa anakazwa.
Anakazwaje, na nani, na wapi hiyo ni siri yake.
Dah kaka maneno unayoyaongea ni sahihi sana, yani mtu uoe kitu used kilichotumika na kuingizwa kila aina ya pipe? Na mamikosi juu? Embu jamani tuone dhamani ya waliojitunzaBaada ya kukahabika na kuwa bed to bed midfielder kwa miaka kadhaa kwa nini ujishushie heshima kwa kukubali kuwa her retirement plan? Hizi dharau
Pamoja sana nimefurahi kukutana na mwana ambaye tunafanana mtazamoDah kaka maneno unayoyaongea ni sahihi sana, yani mtu uoe kitu used kilichotumika na kuingizwa kila aina ya pipe? Na mamikosi juu? Embu jamani tuone dhamani ya waliojitunza
Barikiwa sana Bro!
Ninyi mnaandika kwa nini?Naona mliolewa mkiwa sio bikra mnaandika kwa chuki sana
Pole sana kwa kutokujithamini na kuacha kila mmoja akuonje, namuonea huruma huyo aliekuoa ukiwa tayari "used"Ninyi mnaandika kwa nini?
Sisi tulioolewa bila bikra, tena bikra zote hatuna, hatujibu kwa chuki, We are just clapping back!
Happy?
Si Kweli, kuna wengine bikra zimetolewa kwa kubakwaUkimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya
Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu
Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect
Learn or perish