Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Daaah inasikitisha sanaa 😭,
Week hii hii tu rafiki yangu amefariki kama masihara

Kwenye hiyo njia waliyotumia hao ndugu siyo mbaya pia …. Mimi simu yangu kuna ndugu zangu wanajua password yangu na wasap sijalock

Kifo ni fumbo sanaa
 
Nakutumia barua ya udhamini hapo chap
 
Nikifa ntasahaulika tu maana Jf simfaham yeyot.Jf n sehemu ya burudan kwangu.Ila id yang itakuwa inactive
 
R.I.P my soul when the time come for to live this world.i know i don't know when i die but i know i will.
 
Kwani wewe ni mmama? Kafie mbali uone kama tutahuzunika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…