Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Sijui kwanini nimewaza kuhusu singida united, singida big stars, singida fountaine gate na sasa Singida black stars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's your problem😂Sijui kwanini nimewaza kuhusu singida united, singida big stars, singida fountaine gate na sasa Singida black stars
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??Kutakatisha pesa ni kuingiza pesa iliyopatikana kwa njia isiyo halali na kuiingiza katika mzunguko (ulio halali ie biashara ya duka)
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
Mtoa post unaonekana hujui maana ya Utakatishaji fenda ni Kuitoa pesa chafu ambayo ilipatikana visivyo halali eg wizi uwe wa serikalini au ujambazi au hela uliyoipata visivyo halali na kwa vile ni nyingi unataka isikae mkononi mwako iwe kwenye mzunguko ili ufaidike baada ukiwa nayo watu wajue uliipata kwa biashara isionekane kuwa uliipata kwa njia isiyo halali serikali ijue kuws chanzo cha mapato yako ni ile biashara na sio vinginevyo.
Na hivi ndivyo nijuavyo kwamba pesa yoyote ambayo inapatikana katika shughuli zilizo nnje ya sheria za nchi na pengine kidunia ndio huwekwa kwenye huo upande wa kuwa pesa haramu ila wahusika mara nyingi huwa wanazitafutia sababu ya kuzitakasa ili zionekane safi.Kutakatisha pesa ni kuingiza pesa iliyopatikana kwa njia isiyo halali na kuiingiza katika mzunguko (ulio halali ie biashara ya duka)
Ndio jibu hilo ila huwa hawanunui wakinunua wataulizwa hela umetoa wapi ili kukwepa hilo wanawekeza kwenye kampuni za watu wengine Ambao waliza chini kusota so wameinuka kidogo na wao wanatia mzigo pale unashangaa kampuni ina miaka michache ina gari kibao nyingine ina umri kama ule ila inasota bado Mfano mzuri. Ester luxury coach new force mule kuna mikono ya waishimiwa kibaoKwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
Kutakatisha pesa ni kitendo cha kuchukua pesa iliyopatikana kwa njia haramu(madawa, wizi,utapeli etc)kisha kuiingiza kwenye mfumo,biashara halali inayotambulika kisheria.
Mfano labda tuseme mimi ninafanya biashara ya madawa ya kulevya, pesa nitakayoipata baada ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya niende nikafungue showroom ya kuuza magari, so kila ninapouza madawa nachukua pesa naenda kuongeza magari huo ndio utakatishaji. Wengine ongezeeni
SidhaniKwanini? Huyu ndo mtakashaji mkubwa kuliko wote?
Hujui neno utakatishaji mkuu mana ake mtu kufanya biashara haramu na kisha pesa hizo kuzipeleka kwenye halali hili hali ni haramu sasa hao ulio wataja wanapesa zao halali hapo drug dealers tu ndo umepatiaHabari wadau!
Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja.
Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana.
Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema yeye ni free mason ukaamini we ni mjinga hata serikali ina ujinga flani.
Kuna watu wana hela Dunian hapa hela chafu ambayo inahitaji kuwa katika system sehemu sahihi ya kutakatisha ni Africa.
Usione msanii analipwa milioni 300 ya kibongo kwa shoo ya watu 20 uko nje ukasema amepata bingo.
Leo hii kuna companies wanakopesha hela kisa una Nida Number siamini kama kweli wanapata faida.
Wachungaji feki wa kutosha wana hela hatari. Ukiuliza wanauza maji na mafuta au baraka ndo wanapata hizo hela.
Jichanganye ukiamini utatoboa kama hamna source ya hizo hela.
Watakatishaji fedha wakubwa duniani ni
1. Drug dealers.
2. Wanasiasa
3. Wafanyabiashara.
4. Wanamichezo.
5. Wasanii. ( wanamuziki na wacheza filamu.)
6. Kamali.
Ongeza yako unayoyajua katika hili!!!!!!
Sidhani
Tusaidiane utakatishaji pesa ni kufua pesa zitakate kwa maji na sabuni?
Money laundering is the illegal process of making large sums of money obtained from a criminal activity, such as drug trafficking or terrorist funding, appear to have come from a legitimate source. The money obtained through criminal activity is deemed dirty, and the process “launders” it to make it appear clean
Kutakatisha pesa ni kitendo cha kuchukua pesa iliyopatikana kwa njia haramu(madawa, wizi,utapeli etc)kisha kuiingiza kwenye mfumo,biashara halali inayotambulika kisheria.
Mfano labda tuseme mimi ninafanya biashara ya madawa ya kulevya, pesa nitakayoipata baada ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya niende nikafungue showroom ya kuuza magari, so kila ninapouza madawa nachukua pesa naenda kuongeza magari huo ndio utakatishaji. Wengine ongezeeni