Naona hapo sio sahihi huwezi kuuza nyara za serikali wazi wazi, na pesa inaenda kwenye hazina, ungesema rushwa ambae amepewa kwa kuruhusu hiyo biashara ifanyike,.........kama hicho ndo kigezo chako cha ukatishaji wa fedha huujui neno money laundering ni nini?Kwanini? Huyu ndo mtakashaji mkubwa kuliko wote?
Hapana. Mfano mwanasiasa kauza twiga billioni moja uarabuni. Hizo hela atashikiwa akiwanazo anaziweka mahali azitakatishe. Anaweza akaenda kwa mfanyabiashara wa mabasi. Akaununua mabasi kwa jina la mtu yule hata kumi. Wewe ukiamini ni mabasi ya mtu fulani kumbe sio