Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
Mtoa mada ana njaa ana hasira na matajiriAsichokijua mtoa mada ni kuwa mtu anae takatisha pesa hawezi kujipost na pesa zake wala kununua magar ya kifahari kama hawa aliwao wataja na akifanya hivyo ni rahis kukamatwa kinachotakiwa ni kuiingiza pesa ya haramu kwenye mzunguko wa halali bila kushtukiwa na vyombo vya usalama, sasa kama utamlipa msanii milion 300 si ushajifichua hapo? Wewe fikiria njia ambayo utaingiza pesa ya haram kweny mzunguko wa halali na ikaendelea kuleta faida pasi na kugundulika na vyombo vya usalama.