Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

Kutakatisha pesa ni kitendo cha kuchukua pesa iliyopatikana kwa njia haramu(madawa, wizi,utapeli etc)kisha kuiingiza kwenye mfumo,biashara halali inayotambulika kisheria.

Mfano labda tuseme mimi ninafanya biashara ya madawa ya kulevya, pesa nitakayoipata baada ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya niende nikafungue showroom ya kuuza magari, so kila ninapouza madawa nachukua pesa naenda kuongeza magari huo ndio utakatishaji. Wengine ongezeeni
 
Mtoa post unaonekana hujui maana ya Utakatishaji fenda ni Kuitoa pesa chafu ambayo ilipatikana visivyo halali eg wizi uwe wa serikalini au ujambazi au hela uliyoipata visivyo halali na kwa vile ni nyingi unataka isikae mkononi mwako iwe kwenye mzunguko ili ufaidike baada ukiwa nayo watu wajue uliipata kwa biashara isionekane kuwa uliipata kwa njia isiyo halali serikali ijue kuws chanzo cha mapato yako ni ile biashara na sio vinginevyo.
 
Kutakatisha pesa ni kuingiza pesa iliyopatikana kwa njia isiyo halali na kuiingiza katika mzunguko (ulio halali ie biashara ya duka)
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
 
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
 
Kutakatisha pesa ni kuingiza pesa iliyopatikana kwa njia isiyo halali na kuiingiza katika mzunguko (ulio halali ie biashara ya duka)
Na hivi ndivyo nijuavyo kwamba pesa yoyote ambayo inapatikana katika shughuli zilizo nnje ya sheria za nchi na pengine kidunia ndio huwekwa kwenye huo upande wa kuwa pesa haramu ila wahusika mara nyingi huwa wanazitafutia sababu ya kuzitakasa ili zionekane safi.

Sasa kitu ambacho kidogo kimeniyumbisha kwenye hilo bandiko ni kwamba mfano wa watu wa makanisa kwamba kwa mujibu wa andiko kile wanachokifanya sicho kinachowaingizia pesa ila wanatumia hiyo njia ili iwe ya utakaso wa hizo fedha walizo nazo.

Hapa ndio amenichanganya mimi kwa sababu hadi sasa kuna pastor alikua na kanisa lake huko buza na alikua anaombea watu kwa laki tano na watu wanakiri kwamba walikua wanatoa hizo fedha na bado kuna mmoja alijaza ule uwanja wa pale kawe na akauza sana maji na mafuta plus sadaka na mengine yote ambayo yaliyofanyika usiku ule kuhamisha pesa kutoka kwenye mifuko ya watu kwenda kwakwe.

Hapa ndipo nnapohitaji connection ya hilo andiko na utakatishaji.

Yaani anawezaje kuprove kwamba hawa watu hawapati pesa kupitia hizo njia ila zipo njia haram za upatikanaji wa pesa zao hasa ukizingatia uwingi wa wafuasi ambao wamejizolea kwenye hayo maeneo yao ya kazi.
 
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
Ndio jibu hilo ila huwa hawanunui wakinunua wataulizwa hela umetoa wapi ili kukwepa hilo wanawekeza kwenye kampuni za watu wengine Ambao waliza chini kusota so wameinuka kidogo na wao wanatia mzigo pale unashangaa kampuni ina miaka michache ina gari kibao nyingine ina umri kama ule ila inasota bado Mfano mzuri. Ester luxury coach new force mule kuna mikono ya waishimiwa kibao
 
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
 
Hujui neno utakatishaji mkuu mana ake mtu kufanya biashara haramu na kisha pesa hizo kuzipeleka kwenye halali hili hali ni haramu sasa hao ulio wataja wanapesa zao halali hapo drug dealers tu ndo umepatia
 
Watakatoshaji wanapenda sana viongozi wa dini hasa hizi za kilokole Mzigo unapitishwa ukitoka ni legit, wanasaidiwa na vyombo vya usalama maana sheria za utakatishaji zipo sema zinatumiwa KISIASA .
 
Ujitaidi uwe unakula mara tatu kila siku uache kuonea watu wivu nyie ndiyo wale mkiona mtu ametoboa mnasema amejiunga freemason leo umehamia kwenye utakatishaji utajifariji mpaka unye
 
Tusaidiane utakatishaji pesa ni kufua pesa zitakate kwa maji na sabuni?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…