Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Hawajui hawa..
Maji yanapausha hadi sufuria, ndio sie tunywe? Aiiiii nmeshindwa kabla nijaribu 🀣
 
Hahah hapana ase yakisma kuna wimbo tulikuwa tunaimba unaimbwa hivi
Maji ya kisima mama sitoweza kunywa matumbili na manyani yana ogelea embeee embee dodo we embe embeee tamu sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ulisoma Chuno primary?. Huo wimbo uliletwa pale na mhuni mmoja akiitwa mwalimu Lali.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nafwata mkumbo
 
Nunuaga 13L kwa 4,000 hafu unakua na zile chupa kama watoto wa primary unakua unatembea nayo.
Mtwara ndio naonaga wanauza ivyo yanapita magari yale ya ndanda water wanauza unawekewa kwenye tank lako ila nitafanya ivyo now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…