Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Huku ugali huku sinywi maji ya ndoo bali madumu ya K'njaro Jf hata wapandishe kodi sihami kamwe 😄
 
Huku ugali huku sinywi maji ya ndoo bali madumu ya K'njaro Jf hata wapandishe kodi sihami kamwe 😄
😂😂😂 cheza na mdundo wa mziki basi unatuharibia step 😂😂
 
Ukweli ni kwamba wewe upo kwenye class ambayo siyo yako. Hujafikia bado. Utakuwa umewahi
Hapana mm nakwambia choo cha shimo mim nimetumia nilipo enda kijijni na labda ile ugenini ila sio home mpaka najitambua nyumba zote tumekaa ilikuwa tunatumia sink sio choo cha shimo
 
Sawa
 
Maji ya kilimanjaro ya ladha mbaya kama magadi, bora Uhai na Dew drop.
Unywaji wa maji ya chupa nyumbani ni dalili ya kuwa na kipato kizuri/kuwa mgonjwa mgonjwa.
Kilimanjaro drinking water haya madogo currently wanayafanyia UHARIRI HAPO MBAGARAAA..

HOPE KIWANDA KIMETIA BARAKAA ZAO ZOTEEE
 
Hapana mm nakwambia choo cha shimo mim nimetumia nilipo enda kijijni na labda ile ugenini ila sio home mpaka najitambua nyumba zote tumekaa ilikuwa tunatumia sink sio choo cha shimo
Upo kwenye tabaka ambalo siyo lako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…