Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Kwan mtu alienda gereg akaangalia gar linavotengenezwa akashiriki kwamiaka kadhaa akatoka pale akiwa fund nayule aliesomea darasan nae akapewa chet hawa wawili tofauti yao nn huyu kwavitendo huyu darasan

Sent from my Infinix-X600-LTE using JamiiForums mobile app
 
Fanya uhalifu ukipelekwa mahakamani ndio utamjua huyo Wakili msomi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu rudia kusoma maelezo yangu utanielewa. Mwanasheria hajui uhasibu, madawa, sijui makitu gani, lakini ukipeleka tatizo lolote linalotoka katika taaluma yoyote wanasheria wanashughulika nalo
Nachosema Mimi sio kuwa hao mawakili wanazijua hizo taaluma Bali hao mawakili wanachokijua ni kuhusisha tatizo lilijitokea au kosa au tukio na sheria tu ili kumtetea mteja wake.au kama mwendesha mashtaka basi kutia hatiani.

Lakini sio kuwa eti mawakili au mwanasheria wamebobea ktk hizo taaluma zingine.hapana
 
Juu huyu anaesema RUBISh, au ripoti ni upuuzi mtupu ana sifa za kuwa wakili msomi?
 
This is a big lie...kwahiyo nikuletee tatizo la bridge failure wewe kama mwanasheria utanipa jibu? Huko ni kujikweza bila sababu za Msingi.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mkuu somo la mantiki(logic) hukupata kulisoma?
Maana inawezekana sio tatizo lako kuelewa ila ukawa na tatizo la shule ndogo(little learning).

Labda nikusaidie kuelewa. Tatizo la bridge failure kama wewe ni mkandarasi na ukajenga daraja kisha ukakabidhi alafu likabomoka, mamlaka zilizokupa hiyo kazi zikakupeleka mahakamani lazima utapeleka hilo tatizo kwa mwanasheria.

Hivyo matatizo yako yote yatakayotokana na fani yako ya civil engineering ikitokea ukapelekwa mahakamani lazima upeleke kwa mwanasheria.

Mkuu rudi shule usome somo la Logic.
 
Kwanini bridge failure iwe ni tatizo la mkandarasi peke yake? How did you arrive to that fact? Ndio maana nasema tuache kujikweza. Professional zote zinahitajiana. Iweje lawyers pekee ndio wawe wanajua vyote?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Aisee,
Kwa hiyo mzee daraja likijengwa likadondoka au ghorofa likijengwa kabla hata halijaisha likadondoka likaua watu au kuleta madhara atawajibishwa mhasibu au mlinzi au mwanasheria?

Unakumbuka miaka michache iliyopita ghorofa moja likidondoka hapo kariakoo karibu na mnazi mmoja, aliewajibishwa ni nani?
 
Wewe ni lawyer ila nina shaka kukariri historia kumekuchanganya

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Teh naona Jf wameamua kutuumbua tunaotumia tecno halafu kwenye uzi wa tecno tunapondea kinyama..... Hiyo ndio tofauti ya usomi sijui umenielewa

"Sent from Tecno whatever "
mwenyewe umeniacha njia panda
 
hujamuelewa
 

Wewe ni bonge LA FALAAA!!!

Unaniambia mimi sijielewai kwa hiyo wewe kwa hichi ulichokiandika ndio unajielewa!??? Hivi umesoma hata comment yangu kabla ya ku-reply kwa mihemko yako kama malaya aliyekopwa penzi kwa lazima?

Umeona hata kama kuna uwiano wowote ule kati ya nilichokijibu na ulivyonijibu paka wewe?

Huyo mtoto wa Olesendeka na comment yangu vinahusiana nini? Kuna mahali nimemuongelea mtoto wa Olesendeka mbuzii wewe? Kumwapisha kwako huyo mtoto wa Olesendeka na nilichokiandika kuna uhusiano gani!?

Aliyekwambia hilo neno ni rasmi nani au unaleta ujjuha tu hapa!? Acha umbingira kwa huko huko kwenu busisi.
 
Wanaitwa WASOMI kwa sababu wana UWEZO wa kutetea MAFISADI katika mahakama na KUSHINDA kesi kwa kutumia VIFUNGU vya sheria vilivyopo NCHINI....
 
Na hili unalosema linawezekana hapa! Kwa maana kwa simple logic tu hapa, unaposema wakili msomi basi kuna madaraja ya mawakili wasomi na ambao sio wasomi. Na kama hamna madaraja hayo basi kila wakili ni msomi na kama kila wakili ni msomi basi hakuna haja ya kutanguliza neno "msomi" kwenye kumuita wakili.

Na ndio maana mimi nasisitiza ni kauli unayotumika kiutashi na sio rasmi, ila nashangaa kuna KENGE mmoja hapo anataka kutuaminisha ni kauli rasmi.
 
Inaonekana wewe ni mwanasheria maana unaulizwa maswali wewe unatafuta ushahidi jibu swali mkuu
Kabisa kabisa anatafuta ushahidi tu na Mimi sijampa kwasababu najua hilo neno analisikia.Na Jana tu nimelisikia redio clouds FM kipindi cha michezo usiku.
 
Mwanasheria hatumii elimu ya uhandisi hapo bwana baada ya daraja kuanguka.

Atatumia elimu ya sheria na makosa kusaidia mkandarasi asiingizwe ktk hatia.

Mwanasheria atakachokifanya hapo ni kuangalia je taratibu zilifuatwa na nani hakufanya wajibu wake.

Lakini eti mwanasheria kujua chemistry ya mortar kwa ratios si rahisi.
 
Rudia kusoma nilichokiandika na majibu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…