Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Neno Wakili Msomi naona linaenea kwa kasi kubwa huwa sielewi lina maanisha nini linapotumika hasa hasa na Watangazaji wetu wa vyombo vya habari! nikijua kabisa huwezi kuwa wakili kama sio mwanasheria ambaye ni msomi.

Na kila fani kwa waliokwenda shule hasa level za chuo kikuu huwa ni wasomi.

Sasa kwanini wanaitwa Wakili Msomi je Kuna wakili asiye msomi au??

Mimi si mwanasheria!!
 
Magumashi tu ya Tanzania yetu....au wanaita mbwembwe maana wakili asiyesoma sijui yuko wapi. Labda Rwanda kuna kitu kinaitwa Gachacha
 
Tundu lisu, libatala na mawakili wote ambao ni pro chadema!
Kama fani yenyewe haikulibali basi fosi kukubalika!
 
Niliwahi kusoma mahala, hii sio Tanzania tu, ni Dunia nzima kwa wanasheria kuitwa au kujiita wasomi au Learned brothers/sisters.

1. Mawakili wanapokua mahakami na wakawa wanabishana kwa hoja, wakili mmoja haweza kumpinga mwenzake kwa kumuita mjinga au mpumbavu, hapana anatakiwa hata kama hoja ya wakili wa upande wa pili ni ya kijinga, anatakiwa kusema wakili msomi mwenzangu hapo napingana na wewe hivi na hivi na sio kutumia maneno mabaya au majina mabaya katika kupinga hoja. Yani hutakiwi kumuonyesha mtu ni mjinga moja kwa moja, unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwamba kama mtu ni mjinga usimwambie wewe ni mjinga, mwambie tu brother uwezo wako wa kukubali mambo unashuka ndugu yangu(your level of appriciating things is diminishing)

2. Mawakili au wanasheria wanafundishwa kumshitaki au kumtetea yoyote kutoka katika taaluma yoyote ile, iwe unatoka uhasibu, sheria, uchumi, uinjinia, sayansi, udaktari, wizi, ujambazi, ulawiti, ubakaji, urubani, fani zote.

Hivyo wanajiona kua wanajua mambo karibu yote kama sio yote kwa ujumla yaliyo chini ya jua. Ndio maana huwezi kupeleka kesi mahakamani ya udaktari hakimu akakuambia kua bwana sisi sio madaktari hivyo hiyo kesi haitasikilizwa, hapana , wataipokea na kuisikiliza hadi mwisho na hukumu itatolewa utafikiri wao wanajua udaktari.

Kwa mantiki hiyo wanasheria toka zamani wamekua wakiona fani nyingine kama fani za kiwango cha chini na kijiona wao ni bora na ni wasomi kuliko wengine.
 
Wewe ulisikia nani ameitwa Wakili msomi?
Leo nimesikia Clouds FM kipindi chao cha michezo usiku huu Mtangazaji akitamka Wakili Msomi.........

Na nimekuwa nikisikia Mara kadha...Kamati inaongozwa na Wakili msomi.......

Mara utasikia kesi hii Wakili msomi ......amejitoa

Sasa mawakili wengine siyo wasomi au??
 
Kwahiyo wasomi wapo kwenye sheria tu? Hakuna wahasibu wasomi? Wanauchumi wasomi? Mainjinia wasomi? kwani msomi si mtu aliyesoma? kwanini wakili ndio wawe wasomi? ina maada kada nyingine sio wasomi(hawajasoma)?

Hata aliyeandaa miktabata mibovu ya madini naye wakili msomi...anayewasaidia watu kufanya fraud na kukwepa mkono wa sheria ni wakili msomi...

Labda kuwa wakili kunawafanya wawe tofauti...kula tofauti, magari wanayoendesha tofauti, rushwa wanazokula tofauti...na sasa hata majina wanayojiita ni tofauti.

Mbwembwe hizi zitawaadhiri watu mjini kwa speed hii ya JPM
 
Niliwahi kusoma mahala, hii sio Tanzania tu, ni Dunia nzima kwa wanasheria kuitwa au kujiita wasomi au Learned brothers/sisters.

1. Mawakili wanapokua mahakami na wakawa wanabishana kwa hoja, wakili mmoja haweza kumpinga mwenzake kwa kumuita mjinga au mpumbavu, hapana anatakiwa hata kama hoja ya wakili wa upande wa pili ni ya kijinga, anatakiwa kusema wakili msomi mwenzangu hapo napingana na wewe hivi na hivi na sio kutumia maneno mabaya au majina mabaya katika kupinga hoja. Yani hutakiwi kumuonyesha mtu ni mjinga moja kwa moja, unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwamba kama mtu ni mjinga usimwambie wewe ni mjinga, mwambie tu brother uwezo wako wa kukubali mambo unashuka ndugu yangu(your level of appriciating things is diminishing)

2. Mawakili au wanasheria wanafundishwa kumshitaki au kumtetea yoyote kutoka katika taaluma yoyote ile, iwe unatoka uhasibu, sheria, uchumi, uinjinia, sayansi, udaktari, wizi, ujambazi, ulawiti, ubakaji, urubani, fani zote.

Hivyo wanajiona kua wanajua mambo karibu yote kama sio yote kwa ujumla yaliyo chini ya jua. Ndio maana huwezi kupeleka kesi mahakamani ya udaktari hakimu akakuambia kua bwana sisi sio madaktari hivyo hiyo kesi haitasikilizwa, hapana , wataipokea na kuisikiliza hadi mwisho na hukumu itatolewa utafikiri wao wanajua udaktari.

Kwa mantiki hiyo wanasheria toka zamani wamekua wakiona fani nyingine kama fani za kiwango cha chini na kijiona wao ni bora na ni wasomi kuliko wengine.
Pamoja na Maelezo yako mazuri tu lakini si kweli kuwa fani ya sheria ndiyo kujua Fani zingine si kweli Hata kidogo.

Mwanasheria hawezi kujua medicine, accounts, engineering n.k.

Sana sana yeye ana base kwenye incident in relation to laws basi ili kapata u kweli wa jambo au tukio.
 
Niliwahi kusoma mahala, hii sio Tanzania tu, ni Dunia nzima kwa wanasheria kuitwa au kujiita wasomi au Learned brothers/sisters.

1. Mawakili wanapokua mahakami na wakawa wanabishana kwa hoja, wakili mmoja haweza kumpinga mwenzake kwa kumuita mjinga au mpumbavu, hapana anatakiwa hata kama hoja ya wakili wa upande wa pili ni ya kijinga, anatakiwa kusema wakili msomi mwenzangu hapo napingana na wewe hivi na hivi na sio kutumia maneno mabaya au majina mabaya katika kupinga hoja. Yani hutakiwi kumuonyesha mtu ni mjinga moja kwa moja, unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwamba kama mtu ni mjinga usimwambie wewe ni mjinga, mwambie tu brother uwezo wako wa kukubali mambo unashuka ndugu yangu(your level of appriciating things is diminishing)

2. Mawakili au wanasheria wanafundishwa kumshitaki au kumtetea yoyote kutoka katika taaluma yoyote ile, iwe unatoka uhasibu, sheria, uchumi, uinjinia, sayansi, udaktari, wizi, ujambazi, ulawiti, ubakaji, urubani, fani zote.

Hivyo wanajiona kua wanajua mambo karibu yote kama sio yote kwa ujumla yaliyo chini ya jua. Ndio maana huwezi kupeleka kesi mahakamani ya udaktari hakimu akakuambia kua bwana sisi sio madaktari hivyo hiyo kesi haitasikilizwa, hapana , wataipokea na kuisikiliza hadi mwisho na hukumu itatolewa utafikiri wao wanajua udaktari.

Kwa mantiki hiyo wanasheria toka zamani wamekua wakiona fani nyingine kama fani za kiwango cha chini na kijiona wao ni bora na ni wasomi kuliko wengine.
Kama ndivyo mbona uwa kuna areas of specialization kadhaa kwenye sheria mfano enviromental law, bankruptcy law, corporate law, admiralty/maritime law n.k? Ina maana kila wakili ni mbobezi katika maeneo yote hayo?
 
Kwa nini wanaitwa Wakili Msomi........
1:zamani kuna watu walikuwa mawakili bila ya kusomea sheria.
2:walikuwa wanafanya kazi ktk maofisi ya mawakili
3:kutokana na miaka mingi kufanya kazi ktk ofisi hizo walipata ujuzi wa uwakili na kuruhusiwa ku practise bila kusomea uwakili/sheria
4:hivyo basi neno learned friend au wakili msomi likaanza kutumika kwa wale tu waliokwenda kusomea fani hiyo.
5:ambao hawakwenda kusomea fani hiyo wakabakia kuitwa Wakili tu na wala siyo Un learned friend
Niko tayari kusahihishwa.
Kwa mfano jeshini Brigadier General...Major General....Luteni General....na General wote wanaitwa General ingawa wsnapishana ki vyeo.

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Leo nimesikia Clouds FM kipindi chao cha michezo usiku huu Mtangazaji akitamka Wakili Msomi.........

Na nimekuwa nikisikia Mara kadha...Kamati inaongozwa na Wakili msomi.......

Mara utasikia kesi hii Wakili msomi ......amejitoa

Sasa mawakili wengine siyo wasomi au??
Nitajie jina la wakili mmoja ambaye ulisikia anatajwa kuwa ni Wakili msomi?
 
Back
Top Bottom